kikoozi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2015
- 2,094
- 3,108
Habarini ndugu zangu,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 41 baba yangu baada ya kuuza nyumba yake na kugoma kunipatia na mimi japo pesa kidogo nikaanze maisha na ikanipelekea mimi kwenda polisi na mpaka mahakani na mahakama ikaamua kuwa mimi sina ninacho dai kwenye iyo nyumba ya baba.
Hatimaye chuki ikaanza kutamalaki katikati yangu mimi na mzee wangu. kitu kilicho niumiza zaidi ni baba yangu jana amesema hataki kuniona wala kunisikia na alienda mbele zaidi na kusema mimi sio mtoto wake.
Roho imeniuma sana sana mpaka nikawa nawaza mimi kupigania aki yangu ya kupata gawio kwenye mauzo ya ile nyumba ndio imefanya nisiwe mtoto wake na kilicho nifanya nifungue huu uzi stori ipo ivi.
Tuna nyumba nyingine ambayo nakaa mimi na baba angu mdogo ni nyumba ya baba alijenga, leo asubuhi amemtumia sms baba angu mdogo aniambie niondoke hapa na akija asinikute maana anataka kuipangisha, imenisikitisha sana na kuniumiza mnoo.
Nimewaza nitafute mbinu ya kuiuza hii nyumba pasipo baba na baba mdogo kujua ili niondoke kabisa hii Dar es salaam nikaanze maisha yangu sehemu nyingine, naombeni mbinu na ushauri wenu.