Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo analilia mali ya baba?41 yrs ni mtu mzima sio kijana. Unaelekea uzeeni kabisa.
Ni mwanaume halafu ni "kijana" wa miaka 41.Mwanaume miaka 41 unalilia mali za baba yako....
Hii iingizwe kwenye maajabu ya dunia.
Hahaha mkuu nimechukua umri wake nikagundua huyu sio kijana ila ni mvulanaWatu kama ninyi ndio mnao sababisha urusi iendelee kumchapa ukren, maana Putin hataki kabisa ujinga wa aina hii...[emoji3525]
Alafu 41 years old unajiita kijana..!!
Hivi nyie wanaume wa Daslam mkoje...[emoji53]
Kwa kweliAisee!! Unachotaka kufanya hamna tofauti na kupaka rangi upepo.
Miaka 41 [emoji848].
Hii kitu kweli kama niliwahi kuisoma zamani. Halafu jitu la miaka 41 linagimbea nyumba ya babakeHalafu ifikie wakati uache kucheza na akili zetu.
Hii mada umeshawahi kuiweka humu jukwaani.
Acha kufananisha bangi na mambo ya kijinga weweMadhara ya kuvuta bangi bila kula, uza tu
Pole Sana, kinachokusumbua Ni malezi mabovu, yaelekea ulidekezwa na mama yako, baba anakwambia nenda shule, badala yake unazunguka kwa mama yako unaomba pesa ya kula shuleni, ikibaki unavuta bange, matokeo yake ndo hayo..Habarini ndugu zangu,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 41 baba yangu baada ya kuuza nyumba yake na kugoma kunipatia na mimi japo pesa kidogo nikaanze maisha na ikanipelekea mimi kwenda polisi na mpaka mahakani na mahakama ikaamua kuwa mimi sina ninacho dai kwenye iyo nyumba ya baba.
Hatimaye chuki ikaanza kutamalaki katikati yangu mimi na mzee wangu. kitu kilicho niumiza zaidi ni baba yangu jana amesema hataki kuniona wala kunisikia na alienda mbele zaidi na kusema mimi sio mtoto wake.
Roho imeniuma sana sana mpaka nikawa nawaza mimi kupigania aki yangu ya kupata gawio kwenye mauzo ya ile nyumba ndio imefanya nisiwe mtoto wake na kilicho nifanya nifungue huu uzi stori ipo ivi.
Tuna nyumba nyingine ambayo nakaa mimi na baba angu mdogo ni nyumba ya baba alijenga, leo asubuhi amemtumia sms baba angu mdogo aniambie niondoke hapa na akija asinikute maana anataka kuipangisha, imenisikitisha sana na kuniumiza mnoo.
Nimewaza nitafute mbinu ya kuiuza hii nyumba pasipo baba na baba mdogo kujua ili niondoke kabisa hii Dar es salaam nikaanze maisha yangu sehemu nyingine, naombeni mbinu na ushauri wenu.
Sio sawa kumchukua baba mahakamani kisa nyumba yake mwenyewe. Kuuza nyumba bila baba kujua unatafuta LAANA.Habarini ndugu zangu,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 41 baba yangu baada ya kuuza nyumba yake na kugoma kunipatia na mimi japo pesa kidogo nikaanze maisha na ikanipelekea mimi kwenda polisi na mpaka mahakani na mahakama ikaamua kuwa mimi sina ninacho dai kwenye iyo nyumba ya baba.
Hatimaye chuki ikaanza kutamalaki katikati yangu mimi na mzee wangu. kitu kilicho niumiza zaidi ni baba yangu jana amesema hataki kuniona wala kunisikia na alienda mbele zaidi na kusema mimi sio mtoto wake.
Roho imeniuma sana sana mpaka nikawa nawaza mimi kupigania aki yangu ya kupata gawio kwenye mauzo ya ile nyumba ndio imefanya nisiwe mtoto wake na kilicho nifanya nifungue huu uzi stori ipo ivi.
Tuna nyumba nyingine ambayo nakaa mimi na baba angu mdogo ni nyumba ya baba alijenga, leo asubuhi amemtumia sms baba angu mdogo aniambie niondoke hapa na akija asinikute maana anataka kuipangisha, imenisikitisha sana na kuniumiza mnoo.
Nimewaza nitafute mbinu ya kuiuza hii nyumba pasipo baba na baba mdogo kujua ili niondoke kabisa hii Dar es salaam nikaanze maisha yangu sehemu nyingine, naombeni mbinu na ushauri wenu.
Miaka 41 unakaa kwenu?huyo mzee ni fala ingekua mimi ningekupa kesi ukakae magereza ndio kunakufaa mtu wa hovyo kma weweHabarini ndugu zangu,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 41 baba yangu baada ya kuuza nyumba yake na kugoma kunipatia na mimi japo pesa kidogo nikaanze maisha na ikanipelekea mimi kwenda polisi na mpaka mahakani na mahakama ikaamua kuwa mimi sina ninacho dai kwenye iyo nyumba ya baba.
Hatimaye chuki ikaanza kutamalaki katikati yangu mimi na mzee wangu. kitu kilicho niumiza zaidi ni baba yangu jana amesema hataki kuniona wala kunisikia na alienda mbele zaidi na kusema mimi sio mtoto wake.
Roho imeniuma sana sana mpaka nikawa nawaza mimi kupigania aki yangu ya kupata gawio kwenye mauzo ya ile nyumba ndio imefanya nisiwe mtoto wake na kilicho nifanya nifungue huu uzi stori ipo ivi.
Tuna nyumba nyingine ambayo nakaa mimi na baba angu mdogo ni nyumba ya baba alijenga, leo asubuhi amemtumia sms baba angu mdogo aniambie niondoke hapa na akija asinikute maana anataka kuipangisha, imenisikitisha sana na kuniumiza mnoo.
Nimewaza nitafute mbinu ya kuiuza hii nyumba pasipo baba na baba mdogo kujua ili niondoke kabisa hii Dar es salaam nikaanze maisha yangu sehemu nyingine, naombeni mbinu na ushauri wenu.
Wewe jamaa utakuwa na tatizo la akili, kwanini unakomaaa na Mali ya baba yako , ushakuja hapa ukapewa ushauri ajabu zaidi wewe ni graduater mbona u adharirisha uwanaume wako acha utotoHabarini ndugu zangu,