Msaada: Nataka kuuza nyumba maana baba yangu mzazi anadai mimi sio mtoto wake

Umeandika una miaka 41 ?
 
Mwanaume miaka 41 unalilia mali za baba yako....

Hii iingizwe kwenye maajabu ya dunia.
Mwisho miaka mingapi mama. Maana mwenyewe hapa nina miaka 39 halafu dingi yangu kauza nyumba nataka nimletee noma.
 
Mleta mda skiza. Usiiuze hiyo nyumba. Nakushauri bora uiibe ukimbie nayo itakusaidia huko mbeleni hutahitaji kupanga wala kujenga tena.
 
Uza mkuu ukifanikiwa nicheck inbox nikupeleke kiwanja cha watoto wakale wakausaidie kula urithi.
 
Hiyo nyumba ni mali ya baba yako na hakuna kitu unaweza kufanya kwani aliitafuta kwa jasho lake vinginevyo ungoje aondoke duniani bila kuandika wosia..
 
Mwisho miaka mingapi mama. Maana mwenyewe hapa nina miaka 39 halafu dingi yangu kauza nyumba nataka nimletee noma.
Haijalishi miaka mingapi bana

Jenga yako ndio uje uwaletee noma wanao wakileta mazoea kwenye mali zakoπŸ˜‚πŸ˜‚
 

Sawa, tuongee bei chap chap! Unaiuza bei gani, weka na picha hapa kabisa!
 
Miaka 41 upo nyumbani wenzako 18 wanaondoka makwao na wanafanikiwa
 
Mali wametafuta na "mchumba"/mke wake halafu huyo "kijana" anataka ajitwalie kabla hata hawajafa na kumuachia urithi!Elimu ya kujitambua kwa watoto wetu na kuzijua sheria kwa kiasi ni jambo la muhimu sana.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…