Msaada: Nataka kuuza nyumba maana baba yangu mzazi anadai mimi sio mtoto wake

Hii nchi uhuru umepitiliza sana🤣🤣
Na utakuta wakikaa kupiga soga wanahimizana kutohama nyumbani kwa wazazi na kwenda kujitegemea.Wanaambiana ..."tusihame.Tuhame kwenda wapi wakati hapo ndiyo kwetu tulipozaliwa? Wenyewe wazazi ndiyo wahame waende kwa wazazi wao"...!Umeona hizo akili?😂😂😂😂😂
 
Yaan vijiweni huko wanadanganyana sana + bangi mbichi basi kitakachotokea hapo ni shida tupu
 
Blaza mali ya baba yako sio yako fanya ujenge tu nyumba yako Mkuu achana na Mzee hayo nd maamuzi yake
 
Hivi mjue majini ya chooni na bangi ni vitu viwili tofauti..😂😂 ona Sasa yanayomkuta mwenzetu wa 41iyaz..aibuuu
 
wajameni mtafutieni mwanaume amuoe, kazi yake iwe ni kufua nguo, kusafisha nyumba, kupika na kunyanduliwa tuu.
 
Una elimu gani ?
 
Wewe utakua hujitambui au unamtindio wa ubongo ww kila siku unakuja na style tofaut tofaut umesomeshwa na baba yako unataka nn halafu bado unajiita kijana miaka41
 
miaka 41 bado unang'ang'ania urithi wa nyumba ya babaako?? kwa kweli wewe ni wa fungu la kukosa !…………...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…