Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Mi mwanangu anapenda maharagwe ila hayapati kila sikuNi kweli lakin si unajua kuwa kuna vyakula mtoto wako anavipenda kwanin kila mara asipikiwe akala na ambavyo havipendi ale mara moja moja si mbaya
Kwahiyo ndio uache kulea mtoto kisa mama kakukwaza? Mtoto anakosa gani makosa yenu wazazi una mkomoa mtoto uho ni upunguani wa hali ya juuAcha lawama hujui chanzo cha mtu kukataa ni kipi
Sasa maharage kweli ya kumnyima watoto?acha tu tule wenyewe kwakweliMi mwanangu anapenda maharagwe ila hayapati kila siku
Mi kinachopikwa ndicho wote watakula.Huyu Dejane asimsingizie mtoto, hizo tabia zote za mtoto ni zake. Mfundishe mtoto nini ale, asichague chakula uone kama atakusumbua. Kwangu hakuna chakula cha baba wala mtoto(kuna nyumba baba anapikiwa separate, kwangu ni upuuzi mtupu), wote tunakula lilichopikwa na watoto wanafurahia sana tu.
Roho mbaya tu hawana upendoKwahiyo ndio uache kulea mtoto kisa mama kakukwaza? Mtoto anakosa gani makosa yenu wazazi una mkomoa mtoto uho ni upunguani wa hali ya juu
Sio watoto wote ni wajinga wapo wataokuwa upande wa Mzee na ndio maana sikutaka zaa na mtu 1 maana watoto wote wangekuwa na akili mojaNa wazee wanavyojua kuugua sasa kupelekwa hospital sijui nin Halaf unazeeka peke yako wee
Na sisi wala hatuna muda wa kulazimishana kulea, yaani hatuna shobo kabisa, watoto tunalea, wanakula fresh, shule wanaenda na wala hatupungukiwi kitu. Ndio kwanza tunabarikiwa.Hatulei kama wamama mmeamua kuwapa sumu.
Narudia hatulei na hakuna litalotokea
😂😂😂😂 uwalee vizuri sasaSio watoto wote ni wajinga wapo wataokuwa upande wa Mzee na ndio maana sikutaka zaa na mtu 1 maana watoto wote wangekuwa na akili moja
Si roho mbaya ila ukionesha jeuri hata uugue hapo nakupita kama wale makuhani kwenye hadithi ya Yesu.We si una roho mbayaaa
😂😂😂😂😂😂😂 woyooooo na tunavyojua kuwalea sasa watakomaaaa mbonaNa sisi wala hatuna muda wa kulazimishana kulea, yaani hatuna shobo kabisa, watoto tunalea, wanakula fresh, shule wanaenda na wala hatupungukiwi kitu. Ndio kwanza tunabarikiwa.
Kwanza kusubiri child support mwisho wa mwezi inakulemaza bora kutafuta mwenyewe.
Mwanao mtakutana ukubwani huko yake yale unamtafuta ukijibiwa " su*k my dic** you as* nigga" msianze kulia lia kama ambulance kutia huruma
Kitendo wanafanya wawili mtoto akizaliwa kila mmoja anamtafutia mwezie sababu uhu ni upumbavu kama mtu hawezi jishusha na kuombana samahani ni upumbavu wa hali ya juuRoho mbaya tu hawana upendo
Wanaume sio wajingaHao viumbe ni pasua kichwa sana, kuna mmoja alimbana mshikaji kwamba amezaa mtoto wake na jamaa anaye mke tayari, basi jamaa akamwambia ili mambo yaende sawa waende ustawi wa jamaa ili wakaandikiwe vipimo vya DNA ili ifahamike kisheria kwamba huyo mtoto ni wake, mwanamke hataki anang'ang'ana tu apewe pesa za matumizi. Yaani ilikuwa mtifuano mkubwa hadi leo huyo mwanamke hajafuata utaratibu na jamaa kapotezea.
Halafu mwanamke kama huyo akianza kulalamika utafikiri kaonewa, kumbe yeye mwenyewe ndo kajifanya kichwa maji.
Unajaribu kumkwepesha asiende.Hata dawati hawana lakufanya, hawawezi kulazimisha kitu
Naombeni msaada nataka kwenda ustawi, baba wa watoto huduma ananisumbua maana ni mfanyakazi TANESCO Engineer Grade 1 anapokea 2.8. Sasa naombeni msaada - Je, kwa mshahara huo naweza pata elfu 50 ustawi au wanadanganya?
Ukizingua, ukawalisha watoto hadithi kuwa mi ndo mbaya, ukikataa mtoto asinitembelee sahau kuhusu matumizi hadi siku mkitambua uwepow anguKwahiyo ndio uache kulea mtoto kisa mama kakukwaza? Mtoto anakosa gani makosa yenu wazazi una mkomoa mtoto uho ni upunguani wa hali ya juu
Kama umetengana na Mtu basi mkataba utakaobaki ni wa kulea Mtoto/Watoto nasio wa kuendelea kufanya mapenzi.Halaf wapo hivi mwanamke kama humpi uchi baba mtoto hatoi matumizi Yaan akili za hawa watu sijui zipoje na unakuta kaoa yeye ila mda anaotaka apewe madikteta kweli
1.Sheria kuhusu hilo itungwe.Ifike mahali wanaume tuwapeleke wanawake mahakamani kama wanabeba mimba bila ridhaa yetu.
Kama mmekubaliana kuwa hakuna kuzaa, ni mwendo wa kufurahishana inakuwaje unakubali kubeba mimba yangu?
Maharagwe hayapikwi kila siku aisee kwani gerezani?Sasa maharage kweli ya kumnyima watoto?acha tu tule wenyewe kwakweli