Msaada: Nataka kwenda Ustawi wa Jamii, baba wa watoto ananisumbua huduma

Kweli mkuu nikubembeleze kule mtoto wako tena damu yako?? Ni haki hiyo kweli? Nitakubembeleza km ni mpenzi wangu ila sio tumeachana nikubembeleze kulea mwanao
Huo umwamba ndo unawagharimu, punguzeni kulialia kama mnao uwezo wa kupambana.
 
Tuwe wakweli. Sio Jogoo wote wanahiyo tabia. Kuna Jogoo wa jirani hapa aligombana na tetea juu ya malezi ya vifaranga vyao 12. Huwezi amini Jogoo yule alilibeba jukumu la malezi mwenyewe hadi hivi vifaranga vikawa kuku wazima wenye afya tele. Sio kila jogoo ana hizo tabia.
 
Maswali yangu naona yote umeyasema ngoja tusubili aje atoe majibu
 
Mi simtetei mtu ambaye mzazi kagoma kutoa matumizi.
Maana ya ndoa tuwaachie wao
Uko sahihi Mkuu, mtoto ni muhimu apate huduma zote muhimu ili kumfanya asome na akue vizuri.

Mtoto kama hatopata huduma bora ndiyo chanzo cha Panyaroad na watoto wa mtaani
 
Imagine una watoto 4 bro kila maza akataka 400k dah. Aisee tutulie kwenye ndoa mzee. 🤣🤣🤣
Apige na uwiano wa watoto kama wapo wengi anaweza kupata hata 20k kwa mwezi😅
 
Anza kukachalaza. Huko ni kukosa adabu. Kama kanaona kanaweza kufanya maamuzi kaambie kakajitegemee. Kama kanaishi na mama yake kaishi kwa kanuni za mama yake kaache ujuaji.

Kape stiki.
 
Anza kukachalaza. Huko ni kukosa adabu. Kama kanaona kanaweza kufanya maamuzi kaambie kakajitegemee. Kama kanaishi na mama yake kaishi kwa kanuni za mama yake kaache ujuaji.

Kape stiki.
Sawa sawa anaenda anabadilika
 
Kama mnakaza mafuvu punguzeni kulialia kama huyu mleta mada
Kabisa aisee wakati mwingi ukiwaambia simama utasikia Mie bado sijafika sawasawa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] shenzy type ukipanda starehe kufurahia utamu kadharika uwe tayari kuyapokea matokeo
 
Uko sahihi Mkuu, mtoto ni muhimu apate huduma zote muhimu ili kumfanya asome na akue vizuri.

Mtoto kama hatopata huduma bora ndiyo chanzo cha Panyaroad na watoto wa mtaani
Mama yake
 
Hao walioko ustawi wajamiii wapo tu kazini ila nikwambie tu ukweli,huwa WANAWADHARAU sana wanawake mnaoenda kudai matumizi ya mtoto,wanawashangaa sana ni vile hawawezi kukuonyesha.

laiti ungekua unayasikia maelezo wanayotoa baada ya wewe kuruhusiwa kuondoka na barua yako ya wito,usingekaa urushe tena mguu kwenye yale majengo.

Kujitia AIBU tu.
 
Watu kama hao unawaacha ma ujeuri wao.
Tatizo la wanawake wakishapata kakipato wanajiona wanajiweza na kutaka panda watu vichwani
wajinga sana hawa bro,,ndo manake Ashraf Hakim yule mchezaji aliwekeza kila ki2 kwa mamake manake alistukia kaoa mwizi,lile jika jinga lilipoona pesa imekua nyingi likaenda mahakamani eti wagawane mali,kumbe mzee ashraf alishampiga chenga ya mwili kitamboooooo!!!! kufika mahakamani ikaonekana jamaa hamiliki chochote zaidi ya nguo za ndani tu!!{hizo ndo alikuwa akijinunulia} vingine vyoe kuanzia mavazi ya nje,viatu,majumba mpaka simu mama yake ndo alikuwa mnunuzi!! unaona bwana,yule mwanake alikuwa mwanamitindo nae alikuwa anautajiri flani ivi,,so mahaka ikaamua yule mwanamke ndo amlipe asharf asilimia 40 ya mali zake!!!..."read that again"
 
Wanawake wasiojielewa wanapenda ligi sana ila moyoni huuumia wakiwa wenyewe
 
Naombeni msaada nataka kwenda ustawi, baba wa watoto huduma ananisumbua maana ni mfanyakazi TANESCO Engineer Grade 1 anapokea 2.8. Sasa naombeni msaada - Je, kwa mshahara huo naweza pata elfu 50 ustawi au wanadanganya?
Jaribu kutafuta maelewano na mzazi mwenzio, sidhani kma kuna mwanaume anakataa kuhudumia damu yake kirahisi unless kama kuna sababu ambazo hatuzijui zinazomfanya asitoe huduma, either kauli au visa, wanawake tuna visa na maneno makali sana kwa hawa ambao tunataka wahudumie watoto, hatuwapi heshima wala nafasi ya kuwaona watoto na wakati mwingine tunajaribu kuwaharibia hata maisha yao kwa sababu ya ugomvi usio na sababu

Trust me, ukienda huko ustawi unaweza pata msaada lakini mwanaume akasema uwezo wake ni.kutoa elfu kumi kila mwezi na ustawi hawawezi kumlazimisha kutoa pesa zaidi ya hiyo kwa sababu nae ana majukumu yake mengine nje ya hao watoto kwa hiyo ni bora ukatumia hekima na husara kuweka mambo sawa na huyo mwenzio kwa faida ya watoto wenu. ustake maisha ya kukommoana eti kisa anapokea 2.8
 
Naombeni msaada nataka kwenda ustawi, baba wa watoto huduma ananisumbua maana ni mfanyakazi TANESCO Engineer Grade 1 anapokea 2.8. Sasa naombeni msaada - Je, kwa mshahara huo naweza pata elfu 50 ustawi au wanadanganya?
Acha tamaa wewe mwanamke, pambana upate hela uhudumie watoto wako. Mna tamaa sana nyie wanawake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…