Msaada: Nataka kwenda Ustawi wa Jamii, baba wa watoto ananisumbua huduma

kamwe usikae ukamsikiliza mwanamke na kutoa maamuzi!! asilimia tisin wao ni vivuruge na yakishavurugika wanakimbilia kwenye jamiii kutafuta huruma na support coz wao machoz na kulialia na kuongea sana ni jadi yao..

Be warned na wanawake!!!!
Hili naungana na wewe mkono. Kuna kesi nyingi sana nimeona. Unakuta mwanamke alikuwa anazinguliwa sana na jamaa. Anatokea mwamba anamchukua na kumpa decent life. Utulivu ukishapatikana mwanamke anaanza kutafuta sasa sababu ya kuvuruga utulivu anaanza kuwashwa washwa. Ndio maana wanaume wengine wana mikono myepesi kwenye kupiga ili next time akitaka kufanya utoto akumbuke kipigo kile afikirie kwa kutumia akili na sio kuchukulia poa.
 
Ok basi rekebisha kule juu,naona wachangiaji wanasema umezaa nae tu sio km ndoa!
na mmezaa mtt huyo tu?
Na umekubali mchepuko akuchukulie mume? Maana huyo lzm alikuwa mchepuko amekutoa kwenye nafasi!
watoto wawil yaan ni story ndefu mkuu
 
yaan tushakuwa chui na panya sujui nifanyaj maan hazungumzi na mimi kbs anapitia kwa dada yangu ila sio mm
Fine, jishushe tu!
Kila kizuri kina gharama dada hakuna kitu rahisi!
Lazima muwe hivyo sbb umefarakanishwa nae! Ili kurudi sawa,u need to God ,u need prayers hakuna namna
 
Kama ana ndoa na alizaa ndani ya ndoa imekuaje akaachika na asipewe msaada? Unaposema.aende BAKWATA kuna sehemu kasema ye ni MUISLAM.

Stori yake ni fupi haya mengine angeyaweka kwenye uzi (sio comments) pengine angeshauriwa vyema
Nimejiongeza kama ni muislam baada ya kusema amepewe talaka 3 mkuu ingawa no za mdomo. Pia sehemu nyingi kaongelea maswala ya kutokwenda bakwata
 
Na ndicho nilichokuwa nasema,
Na hakuna Mtoto anayeweza kumaliza hiyo 100,000/= Kwa mwezi Kwa matumizi ya kawaida. Wengi huishi 50k - 70k
Alafu sasa igawanywe Kwa Watu Wawili yaani Baba na Mama wote wachangie hiyo Pesa.



Ni kweli sababu Mtoto ni wa wote baba na mama,

Habari za kusema “ nimemzalia mtoto” ni za kipumbavu.

Anayeweza kusema nimemzalia Mtoto ni yule mwanamke alofanya procedure ya “ surrogate “ tu.

Yaani akishaingia mkataba wa kuzaa akalipwa hela yake inakuwa imeisha hiyo!

Wakati wa kujifungua Mtoto mwanamke hufunikwa gubigubi asione sura ya huyo Mtoto abadani asilani hatakaa amjue wala kumtambua.
 



Kwanini iwe wajibu wa Mwanaume pekee kutunza Mtoto?

Imeandikwa wapi? [emoji2369]
 
Kuna mtu kawadanganya wanawake wa kizazi hiki kuwa wakibishana na kushindana na mwanaume ndio watashinda na kufanikiwa zaidi Maishani kuliko wakijiadabisha, kuongea kwa upole na utulivu na kuwaheshimu wanawake kwa nafasi zao.
 
Usipende sana kufanya generalisations za namna hii, sio kweli kwamba wanaume wote wa jf hawana akili, sio kweli kwamba wote wana matusi.
 
asa naanzaj mwanaume ni HANIPENDI yaan mpk nashangaq kikubwa nilichomfanyia
Ss km karogwa, kashikwa akili na wee kwenye ulimwengu wa roho umechafuliwa atakupendaje mpendwa? .
Unatakiwa Sasa kuomba Mungu sio na we eti kusema basi Sina shida ya ndoa sijui nn kisa mtu kakuongilia kirahisi tu!
Hapo ndo unatakiwa kuomba na kujishusha, Kuna namna hapo sio kawaida!
Wanaume Huwa hawabadiriki tu from no where
 
Nimejiongeza kama ni muislam baada ya kusema amepewe talaka 3 mkuu ingawa no za mdomo. Pia sehemu nyingi kaongelea maswala ya kutokwenda bakwata
Nimerudi kwenye uzi nimekuta kuna editing ya kutosha ambayo ilipelekea comments -ves za wadau wa awali
 
Au utasikia mtoto akiambiwa hana baba, baba yake alishafariki kwa ajali ya moto., hii haipendezi kabisa.



Mtoto mwingine hakubali jibu rahisi hivyo aisee!

Atakomaa na mama yake mpaka atamuonesha aliko bana yake.

Mtoto mwingine anamuuliza mama yake huyo bana hakuwa na ndugu zake?

Hakuwa na kwao ?

Nielekeze niende nikawaone.
 
Tunatoa ushauri kulingana na situation ilivyo..labda na ww ulitaka tumshauri kulingana na unavyopenda ww..matusi ni tafsiri ya mtu aonavyo yy!!!

Kuhusu nyuzi kama unataka nyuzi za hekima nenda intelligence huko labda utapata unachokitaka.
 
Duh! Pole Sana dadangu kea magumu unayopitia Mungu akufanyie wepesi jamani.

Nenda tu ustawi wa Jamii ukatapiganie haki za wanao
Soln hapo ni kuomba tu.
Anatakiwa kuomba haswaa,aone km huyo mwanaume harudi !
Mchepuko kamzidi kete
 
Kwanini iwe wajibu wa Mwanaume pekee kutunza Mtoto?

Imeandikwa wapi? [emoji2369]
Kwani wakati ule Adam anapewa Majukumu ya Kula Kwa Jasho pale Bustanini Eden ulidhani ilikuwa no Adam yule Pekee.

Ilikuwa ni Jukumu la Kila Mwanaume kula kwa Jasho.

Jukumu la Mwanamke ilikuwa ni Kuzaa kwa Uchungu tu, hivyo Boss wangu
 
Mtoto mwingine hakubali jibu rahisi hivyo aisee!

Atakomaa na mama yake mpaka atamuonesha aliko bana yake.

Mtoto mwingine anamuuliza mama yake huyo bana hakuwa na ndugu zake?

Hakuwa na kwao ?

Nielekeze niende nikawaone.
Na kwa nini mama anytime mtoto haki yake ya msingi kumfahamu baba yake? Kuna sababu gani haswa za mtu kumfanyia hivyo mtoto wake?

Kosa kubwa la kwanza ni kuzaa bila kuelewana, unabebaje mimba kabla hamjakaa mkaelewana, malezi, makuzi nk kwa ajili ya huyo kiumbe?
 
Usipende sana kufanya generalisations za namna hii, sio kweli kwamba wanaume wote wa jf hawana akili, sio kweli kwamba wote wana matusi.
Sijageneralize wote mkuu coment ya juu nilisema 90%... na ukiangalia ni kweli wanaotoa hoja bila matusi ni wachache. Angalia mfano Robert Heriel Mtibeli anatoa hoja ambazo sio za kumsapoti mama 100% ila anazitoa kwa kujìelewa kiasi kwamba hata mhanga ukisoma unajifunza kitu.
Halafu angalia watu wanaomwita malaya while kazaa ndani ya ndoa ni fair kweli?
 


Sijui kwa nini huwa wanapenda kusingizia watoto kuumwa ili warushiwe hela [emoji848][emoji848]

Au kuua mtu ambaye alishakufa miaka mingi li arushiwe hela ya nauli

Wanaume wanaibiwa sana.
 
Kila mtu ana approach yake kwenye uwasilishaji wa hoja, muhimu ni kuchukua +ve tu, yapo maneno mengine tunasoma yanatuchoma directly lakini yanatufundisha kwa sababu ni kweli tulikosea, sasa kama nilikosea nikazalisha hovyo mtaani, nikiambiwa nisikimbie majukumu hata kwa lugha ngumu inabidi nikubaliane na hizo nyundo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…