Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Watoto wanakuwaga hawapendani hakuna bond kati yaoNa mimi mwenye mpango wa watoto 5 mama tofauti wasemaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watoto wanakuwaga hawapendani hakuna bond kati yaoNa mimi mwenye mpango wa watoto 5 mama tofauti wasemaje?
Acha lawama hujui chanzo cha mtu kukataa ni kipiKuna wakati huwa nashindwa kuwaelewa Wanaume wenzangu, hivi inakuwaje unashindwa kulea damu yako?
Imagine huyo Dada yupo tayari kupokea hata shilingi 50,000 kwa mwezi. Hiyo elfu 50 inatosha Kula, mavazi au mtoto akiugua kweli? Kwa hiyo elfu 50 huyo Mtoto atapata Sare za shule au hata Kalamu na Daftari akianza shule?
Tuweni na huruma wakati mwingine, wewe usingehudumiwa na Baba yako ungefika hapo ulipo kweli?
Kama hauko tayari kulea Mtoto, niwasihi Wanaume wenzangu ni bora kutumia Kondomu au mtumie uzazi wa mpango. Tutakuja kupata dhambi na laana za Uzeeni kwa kutelekeza damu zetu.
Kwa huko uzeeni ndo nini?Unapoamua kuzaa hakikisha na wewe una uwezo wa kutunza watoto peke yako incase linapotokea jambo lolote. Nenda Mahakamani kama unaona mzigo ni mzito.Nenda kashitaki ili awe anatoa child support.Binafsi ningekuwa wewe wala nisingehangaika nae ,yule ni Baba anajua wajibu wake.Mimi ningemuacha nikalea wanangu.Finali uzeeni .
Acha lawama hujui chanzo cha mtu kukataa ni kipi
Sababu mnatuchokoza.Zingekuwa nzuri watoto wangelindwa wababa wangetunza watoto wao uliona kipindi Makonda kaita wanawake ambao wanatunza watoto wenyewe uliona walivyokuwa wengi
Wanaume wachache sana hutunza watoto wao
Lita moja ya maziwa ni 2000 x30 =60000 mtoto atakunywa maziwa hali vyakula vingine bado pempas,hajaugua bado,mafuta na sabuni nyieeee wanaumeSheria inataka 70k per month
Domo zege umepata msererekoNajitolea kumlea .wanao pamoja na wewe mwenyewe kama hautojali.
Duniani ni kusaidiana nami kwa moyo mkunjufu nataka kuwasaidia ninyi.
Kama hutaki kuzaa na mwanamke unae furahishana nae tumia condom kwa wingi Sana acheni kuzalilisha wanawake watoto wakifankiwa mnaanza kujiliaza kutwa wengine mpaka mintandaoni kutaka huruma shitIfike mahali wanaume tuwapeleke wanawake mahakamani kama wanabeba mimba bila ridhaa yetu.
Kama mmekubaliana kuwa hakuna kuzaa, ni mwendo wa kufurahishana inakuwaje unakubali kubeba mimba yangu?
100 kwa siku, nikiwah sikia.Naombeni msaada nataka kwenda ustawi, baba wa watoto huduma ananisumbua maana ni mfanyakazi TANESCO Engineer Grade 1 anapokea 2.8. Sasa naombeni msaada - Je, kwa mshahara huo naweza pata elfu 50 ustawi au wanadanganya?
Kuna wanawake wajeuri mnoWanaume wanatakiwa wawe na huruma sana kwa wanawake walizaa nao ,
Hiyo sheria nayo imepitwa na wakati, Child support ya elfu 70 haitoshi kulingana na kupanda kwa gharama za maisha.Sheria inataka 70k per month
Mbona watoto wangu hawako hivyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukiwa na watoto kipikwe chakula kingi na pia upike bites
Maana kila muda wanataka kula [emoji23][emoji23]
Kuna wakati huwa nashindwa kuwaelewa Wanaume wenzangu, hivi inakuwaje unashindwa kulea damu yako?
Imagine huyo Dada yupo tayari kupokea hata shilingi 50,000 kwa mwezi. Hiyo elfu 50 inatosha Kula, mavazi au mtoto akiugua kweli? Kwa hiyo elfu 50 huyo Mtoto atapata Sare za shule au hata Kalamu na Daftari akianza shule?
Tuweni na huruma wakati mwingine, wewe usingehudumiwa na Baba yako ungefika hapo ulipo kweli?
Kama hauko tayari kulea Mtoto, niwasihi Wanaume wenzangu ni bora kutumia Kondomu au mtumie uzazi wa mpango. Tutakuja kupata dhambi na laana za Uzeeni kwa kutelekeza damu zetu.
Simalezi ya mtoto ulitaka apewe yeye kama nani ? Yeye sio mtotokati ya 2.8 mil upewe 50k una akili kweli kama unaenda kudai pesa hyo bora uache tu..
Pia angalai na uwiano wa watoto wengine kama ni mmoja tu anaye basi angalau upate 250k kwenda mbele.
Ha ha haaa Ila wanawake baba yaani utasikia wanao wanakula mno kazi Yao kumaliza pesa tu kumbe nae ananyuka chips yai[emoji23]
Isimvunje moyo, watu hatufanani.Domo zege umepata mserereko
Mi mtoto wangu hampendi mama yake, hata ukimwambia achague ananichague mie. Japo mie huwa nampiga, mama yake hamgusi.Unajua huwa tunapenda kuishi na watoto wetu ,huwa nawashangaa wanao peleka watoto kwa mwanaume ,mwanaume muda mwingi hashindi nyumbani ,mie nakuwa na amani mtoto akiwa na mim usiku nikienda muangalia kalala moyo unapata amani
Mtoto anatakiwa aishi na mama yake
Jukumu la kubeba mimba analo mwanamke, yeye ndio anajua lini na saa ngapi mimba itaingia, yeye ndio anapanga akupe leo au kesho.Kama hutaki kuzaa na mwanamke unae furahishana nae tumia condom kwa wingi Sana acheni kuzalilisha wanawake watoto wakifankiwa mnaanza kujiliaza kutwa wengine mpaka mintandaoni kutaka huruma shit