Msaada: Nataka kwenda Ustawi wa Jamii, baba wa watoto ananisumbua huduma

Msaada: Nataka kwenda Ustawi wa Jamii, baba wa watoto ananisumbua huduma

Sasa mwembamba mrefuu acha ale anenepe tu siku hizi kaanza nenepa angalau ,acha ale tu halaf anapenda vitu vya kukaanga na kachumbari ananimalizia mafuta huyuuu [emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio maana kwenye jukwaa letu wakaanga sana.

Mi dogo hapendi kula kabisa sijui kagonjwa
 
Pambana, huko ustawi atawahonga wale wanawake utaambiwa ana uwezo wa kutoa elfu 20 kwa mwezi
 
Ndio maana kwenye jukwaa letu wakaanga sana.

Mi dogo hapendi kula kabisa sijui kagonjwa

Mtoto wangu hapendi vitu chukuchuku au mchesho ,samaki mbichi hali,lazima ukaange urosti
Ndizi za kukaanga na kachumbari hata bila nyama yeye anaridhika mno ilimradi tomato iwepo
 
Lita moja ya maziwa ni 2000 x30 =60000 mtoto atakunywa maziwa hali vyakula vingine bado pempas,hajaugua bado,mafuta na sabuni nyieeee wanaume
Maziwa Mama anatakiwa anyonyeshe kwa miaka 2

Pampas sio lazima

Akiugua serikali inawatibu bure

Sabuni hata foma inatosha

Mafuta atatumia hata ya 500
 
Maziwa Mama anatakiwa anyonyeshe kwa miaka 2

Pampas sio lazima

Akiugua serikali inawatibu bure

Sabuni hata foma inatosha

Mafuta atatumia hata ya 500

Watoto wapi wanatibiwa bure?
Maziwa tu ya kifuani yanatosha kweli?huyo mama si atakauka kifua
 
Mtoto wangu hapendi vitu chukuchuku au mchesho ,samaki mbichi hali,lazima ukaange urosti
Ndizi za kukaanga na kachumbari hata bila nyama yeye anaridhika mno ilimradi tomato iwepo
Umemzoesha hivyo, makosa ni yako. Watoto wana tabia moja in common, wanabeba kile unachowafundisha. Huenda wewe ndio unapenda choma na kaanga.
 
Mtoto anahitaji vitu vingi mnoo basi baba hana uwezo atunze kadri ya uwezo wake na sio kutafutwa kama mwizi ,kuna wababa wanatunza watoto na hawana pesa nyingi lakin wanashiriki malezi asilimia kubwa wabarikiwe sanaa
Inafikirisha sana Mkuu, yaani mtoto umkojoe wewe alafu kulea umwachie Mwanamke peke yake, si ufala huo na kutokujitambua.

Ungekuwa hutaki kulea Mtoto si ungepiga punyeto tu ijulikane moja.

Huwa nahisi vibaya kukutana na Watoto wadogo ambao walitakiwa kuwa shuleni kutokana na Umri wao lakini unawakuta Barabarani wanaomba omba, wakati huo huo Baba Mzazi unaweza kuta yupo mahali anakula Bia na Nyama Choma 🙌
 
Hiyo sheria nayo imepitwa na wakati, Child support ya elfu 70 haitoshi kulingana na kupanda kwa gharama za maisha.

Maybe iwe 250,000 kwa mwezi, kwa kufanya hivyo itapunguza Wababa kutelekeza Watoto wao lakini pia itafanya Familia nyingi Wazazi kuishi pamoja.

Maana kama una watoto 4 mahali itafanya uwe unatoa 1,000,000 kila Mwisho wa Mwezi, hivyo kujikuta Baba anaamua kukaa na Mke wake au kuchukua Watoto wake na kukaa nao
Kama hana huo uwezo
Serikali ilitunga ikiwa inajitambua, na ukienda mahakamani mahakama kupitia ustawi wa jamii wataangalia hali zote na watatoa maamizi ambayo yanaweza gawanywa iwe 50/50
 
Naombeni msaada nataka kwenda ustawi, baba wa watoto huduma ananisumbua maana ni mfanyakazi TANESCO Engineer Grade 1 anapokea 2.8. Sasa naombeni msaada - Je, kwa mshahara huo naweza pata elfu 50 ustawi au wanadanganya?

1. Ilikuaje ukapata naye mtoto?
Kuna namna yoyote ulilazimishwa au kushurutishwa?

2. Wewe una kazi au shughuli inayokupatia kipato?
 
Unapoamua kuzaa hakikisha na wewe una uwezo wa kutunza watoto peke yako incase linapotokea jambo lolote. Nenda Mahakamani kama unaona mzigo ni mzito.Nenda kashitaki ili awe anatoa child support.Binafsi ningekuwa wewe wala nisingehangaika nae ,yule ni Baba anajua wajibu wake.Mimi ningemuacha nikalea wanangu.Finali uzeeni .
Siku hizi hatufiki uzeeni tunakufa mapema dada, amkomalie tu
 
Haijalishi mkuu, kama umegombana na Mama wa Mtoto ndiyo usitoe hela ya matumizi?

Hapo huoni anayeumia ni Mtoto, imagine unamkuta Mtaani huyo mwanao akiwa Chokolaa, utapenda Mkuu?

Halaf wapo hivi mwanamke kama humpi uchi baba mtoto hatoi matumizi Yaan akili za hawa watu sijui zipoje na unakuta kaoa yeye ila mda anaotaka apewe madikteta kweli
 
Back
Top Bottom