Ndio maana kwenye jukwaa letu wakaanga sana.Sasa mwembamba mrefuu acha ale anenepe tu siku hizi kaanza nenepa angalau ,acha ale tu halaf anapenda vitu vya kukaanga na kachumbari ananimalizia mafuta huyuuu [emoji23][emoji23][emoji23]
Haijalishi mkuu, kama umegombana na Mama wa Mtoto ndiyo usitoe hela ya matumizi?Acha lawama hujui chanzo cha mtu kukataa ni kipi
Usitukane watu hujui sababu, vipi kama mhusika kasingiziwa kwa sababu ya mshahara?I am too tired to respond to this shit[emoji51][emoji51]
kuna wanaume wajinga sana na pia kuna wanawake wajinga zaid. .
Naungana na wewe hapaHakuna mwanaume anakataa kulea mtoto wake, wanawake mnakuwaga vichwa ngumu sometimes ndo maana mnaishia kulialia.
Nilikosea afu kamke ka mtu, kakaachwaWatoto wanakuwaga hawapendani hakuna bond kati yao
Maana wanawake unaweza lea mimba afu mwisho wa siku ukakuta mtoto anazaliwa siku tofauti kabisa kwa mwezi mzimaUpo sahihi
Ndoa zina changamoto nyingi mno
Ndio maana kwenye jukwaa letu wakaanga sana.
Mi dogo hapendi kula kabisa sijui kagonjwa
Maziwa Mama anatakiwa anyonyeshe kwa miaka 2Lita moja ya maziwa ni 2000 x30 =60000 mtoto atakunywa maziwa hali vyakula vingine bado pempas,hajaugua bado,mafuta na sabuni nyieeee wanaume
Maana wanawake unaweza lea mimba afu mwisho wa siku ukakuta mtoto anazaliwa siku tofauti kabisa kwa mwezi mzima
Tatizo ni wamama.Mwanaume anayekataa kulea mtoto ambaye amethibitisha kuwa wake na ana uwezo wa kufanya hivyo huwa simuelewi.
Maziwa Mama anatakiwa anyonyeshe kwa miaka 2
Pampas sio lazima
Akiugua serikali inawatibu bure
Sabuni hata foma inatosha
Mafuta atatumia hata ya 500
Umemzoesha hivyo, makosa ni yako. Watoto wana tabia moja in common, wanabeba kile unachowafundisha. Huenda wewe ndio unapenda choma na kaanga.Mtoto wangu hapendi vitu chukuchuku au mchesho ,samaki mbichi hali,lazima ukaange urosti
Ndizi za kukaanga na kachumbari hata bila nyama yeye anaridhika mno ilimradi tomato iwepo
Inafikirisha sana Mkuu, yaani mtoto umkojoe wewe alafu kulea umwachie Mwanamke peke yake, si ufala huo na kutokujitambua.Mtoto anahitaji vitu vingi mnoo basi baba hana uwezo atunze kadri ya uwezo wake na sio kutafutwa kama mwizi ,kuna wababa wanatunza watoto na hawana pesa nyingi lakin wanashiriki malezi asilimia kubwa wabarikiwe sanaa
Kama hana huo uwezoHiyo sheria nayo imepitwa na wakati, Child support ya elfu 70 haitoshi kulingana na kupanda kwa gharama za maisha.
Maybe iwe 250,000 kwa mwezi, kwa kufanya hivyo itapunguza Wababa kutelekeza Watoto wao lakini pia itafanya Familia nyingi Wazazi kuishi pamoja.
Maana kama una watoto 4 mahali itafanya uwe unatoa 1,000,000 kila Mwisho wa Mwezi, hivyo kujikuta Baba anaamua kukaa na Mke wake au kuchukua Watoto wake na kukaa nao
Naombeni msaada nataka kwenda ustawi, baba wa watoto huduma ananisumbua maana ni mfanyakazi TANESCO Engineer Grade 1 anapokea 2.8. Sasa naombeni msaada - Je, kwa mshahara huo naweza pata elfu 50 ustawi au wanadanganya?
Wanawake wangekuwa wakweli, wanyenyekevu hakuna mtu angegoma leaKuna watu badaye hapa lazima watapandikizwa chuki
Ova
Siku hizi hatufiki uzeeni tunakufa mapema dada, amkomalie tuUnapoamua kuzaa hakikisha na wewe una uwezo wa kutunza watoto peke yako incase linapotokea jambo lolote. Nenda Mahakamani kama unaona mzigo ni mzito.Nenda kashitaki ili awe anatoa child support.Binafsi ningekuwa wewe wala nisingehangaika nae ,yule ni Baba anajua wajibu wake.Mimi ningemuacha nikalea wanangu.Finali uzeeni .
Haijalishi mkuu, kama umegombana na Mama wa Mtoto ndiyo usitoe hela ya matumizi?
Hapo huoni anayeumia ni Mtoto, imagine unamkuta Mtaani huyo mwanao akiwa Chokolaa, utapenda Mkuu?