Msaada nauliza bei ya kufanya interview Wasafi fm,Clouds, Eatv nimetoa wimbo mpya

Angekuwa anatyonjesha kazi zake huenda tungemshauri. Wazee wengine humu tuna sikio la kusikia kitu kizuri au kibaya.
 
Weka hata verse moja ikiwa na beat yake tunaweza kukuchangia kijana wetu
 
Angekuwa anatyonjesha kazi zake huenda tungemshauri. Wazee wengine humu tuna sikio la kusikia kitu kizuri au kibaya.
Hakika, humu tupo zaidi ya laki 4 na ushee tukiwa ndani ya kinyago(ghost)

Nani anajua username ya Kennedy the remedy wa Clouds, usikute ni min -me 😅
 
Safi mkuu kwa kua mkweli mziki ni gharama mi mwenyewe hapa nmetoboka na bado pesa inahutajika sio kitoto.

KAZI zangu tazizindua humu, siku si nyingi namalizia video shooting naachia mizigo
Hongera kwa kupambana Mkuu

Ingefaa utupe vionjo hata vya audio pekee, maana wewe ni kama mtoto wetu, utaanza muziki na kufanikiwa ukitokea JF
 
Hakika, humu tupo zaidi ya laki 4 na ushee tukiwa ndani ya kinyago(ghost)

Nani anajua username ya Kennedy the remedy wa Clouds, usikute ni min -me 😅
Unalolisema Llna ukweli kwa kiasi kikubwa mno. Maprezenta wengi sana wako humu tatizo hatujui id zao.
 
Hongera kwa kupambana Mkuu

Ingefaa utupe vionjo hata vya audio pekee, maana wewe ni kama mtoto wetu, utaanza muziki na kufanikiwa ukitokea JF
Usijali nilishauriwa nisiachie KAZI nusunusu watu wataanza mitafaruku hivyo niachie KAZI yote ikiwa tayari
 
Ukiwa na nyimbo nzuri, Mimi nakuhaidi kukutafutia shoo mwakani ukaimbe hata kwenye Mkesha wa Mwenge
Kaka Kuna member mwenzetu Instagram anaitwa hope Tyga, huyu ni mchambuz maarufu na ana fahamiana na wacambuzo kibao wa burudani huyu alikiri kua ni member wa jamii forum, ye mwenyewe alisema, huyu akinisapoti tu post mbili kwa wiki insta gram kwisha KABISA Haina hata haja ya media tour lakini Kila nikimtafuta insta hua anacheka tu haongei chovhote
 
Ukiona hivyo basi ujue kuna viwango fulani havijafikiwa.

Viwango vikifikiwa watakutafuta wao, wewe hutawatagfuta.
 
mtafute Gozbert akupe script za kutengeneza kiki maana amefanikiwa sana kutengeneza legal controversy recently...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…