Msaada: Nawezaje kufungua akaunti ya UTT?

Msaada: Nawezaje kufungua akaunti ya UTT?

Ngoja nijaribu kuchomoa
Nayo nasubiri 3 days au?
Ndio Ila mpk upate text ndio utajiridhisha mzigo unatoka

GridArt_20240528_182106803.png
 
Una salio la kawaida kwenye simu?
Ndiyo. Wananiambia UTT siminvest imesitishwa, nipige 990.

Hiyo menu niliifungua 22’ wakati nmefungua acc. Sijawahi itumiaga tena
Mwaka jana nikataka kutoa hela, nikaenda ofisini kwao.

Na nmeendelea kuweka
Uwa naweka kutokea CRDB, na nikiiangalia salio kwa app yao nakuta linasoma km kawaida
 
Back
Top Bottom