Sam breezy_21
Member
- Sep 7, 2024
- 13
- 19
Jamani nimekua selected course ya bachelor of arts with education Duce lakini ninahitaji kwenda udsm mlimani kusoma course nyingine nifanyaje ili kubadili admission
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa kuna dirisha la kuhama kutoka chuo kimoja hadi kingine au kozi moja kwenda nyingine. [TRANSFER WINDOW]. Kuna inter-university transfer (kuhama chuo kimoja kwenda kingine) na Intra-university (hapa ni kuhama au kubadilisha kozi ukiwa ndani ya chuo kimoja tu).Jamani nimekua selected course ya bachelor of arts with education Duce lakini ninahitaji kwenda udsm mlimani kusoma course nyingine nifanyaje ili kubadili admissionView attachment 3095928
Dogo unconfirm haraka sanaJamani nimekua selected course ya bachelor of arts with education Duce lakini ninahitaji kwenda udsm mlimani kusoma course nyingine nifanyaje ili kubadili admissionView attachment 3095928
Mzee amenishauri niende kuchkua lawMbona education iko poa tu kuliko huko unakotaka kwenda
Lakni Kuna option ya ku unconfirm halaf ninatak niende mlimani nikapige lawDogo unconfirm haraka sana
Ni mara mia usiende chuo kuliko kusoma education
Mimi ninatak kutoka DUCE kwenda udsm mlimani kupiga lawHuwa kuna dirisha la kuhama kutoka chuo kimoja hadi kingine au kozi moja kwenda nyingine. [TRANSFER WINDOW]. Kuna inter-university transfer (kuhama chuo kimoja kwenda kingine) na Intra-university (hapa ni kuhama au kubadilisha kozi ukiwa ndani ya chuo kimoja tu).
Inter-university transfer: unahama toka chuo A kwenda chuo B ambapo inategemea sababu au lengo la kuhama, mfano unaweza kuhama A kwenda chuo B labda kwa sababu ya mazingira au ada kubwa nk. Au unahama pengine unataka kubadilisha kozi mfano chuo A wamekupanga kozi X lakini wewe unataka kozi Y ambayo labda haitolewi hapo au ipo lakini ada yao ni kubwa sana nk.
Intra-university transfer: hapa ni kuhama kutoka kozi moja mfano X kwenda kozi Y lakini unaifanya ndani ya chuo kimoja tu mfano chuo A.
Kumbuka ukitaka kuhama ni lazima uwe na sababu. Pia huwa kuna vigezo vya kuhama chuo au kozi. Mfano kama unataka kuhama chuo A kwenda chuo B ili ubadilishe kozi/program hakikisha kwamba kuna nafasi za kuhamia zimetolewa, pili hakikisha unafikia vigezo vinavyotakiwa ya hiyo program/kozi mfano kama cut off points zinazohitajika ni 4 nk hakikisha unazo. Vivyo hivyo ukitaka kubadilisha kozi ukiwa ndani ya chuo kimoja kinachotakiwa ni ufaulu wako, cut off points za kozi/program husika.
Huwa kuna dirisha la kuhama kutoka chuo kimoja hadi kingine au kozi moja kwenda nyingine. [TRANSFER WINDOW]. Kuna inter-university transfer (kuhama chuo kimoja kwenda kingine) na Intra-university (hapa ni kuhama au kubadilisha kozi ukiwa ndani ya chuo kimoja tu).
Inter-university transfer: unahama toka chuo A kwenda chuo B ambapo inategemea sababu au lengo la kuhama, mfano unaweza kuhama A kwenda chuo B labda kwa sababu ya mazingira au ada kubwa nk. Au unahama pengine unataka kubadilisha kozi mfano chuo A wamekupanga kozi X lakini wewe unataka kozi Y ambayo labda haitolewi hapo au ipo lakini ada yao ni kubwa sana nk.
Intra-university transfer: hapa ni kuhama kutoka kozi moja mfano X kwenda kozi Y lakini unaifanya ndani ya chuo kimoja tu mfano chuo A.
Kumbuka ukitaka kuhama ni lazima uwe na sababu. Pia huwa kuna vigezo vya kuhama chuo au kozi. Mfano kama unataka kuhama chuo A kwenda chuo B ili ubadilishe kozi/program hakikisha kwamba kuna nafasi za kuhamia zimetolewa, pili hakikisha unafikia vigezo vinavyotakiwa ya hiyo program/kozi mfano kama cut off points zinazohitajika ni 4 nk hakikisha unazo. Vivyo hivyo ukitaka kubadilisha kozi ukiwa ndani ya chuo kimoja kinachotakiwa ni ufaulu wako, cut off points za kozi/program husika.
Mimi ninatak kutoka DUCE kwenda udsm mlimani kupiga law
Kama unavyoona hapo nmekeMimi ninatak kutoka DUCE kwenda udsm mlimani kupiga law
Kam unavyoona hapo kwny selection yangu nmekua selected Moja kwa Moja education lakn hiyo selected in a more preferred program sijaelew inakuajMimi ninatak kutoka DUCE kwenda udsm mlimani kupiga law
Uitakiwa utangulie kuchagua Law kwanza kabla ya education. Je una ufauluKama unavyoona hapo nmeke
Kam unavyoona hapo kwny selection yangu nmekua selected Moja kwa Moja education lakn hiyo selected in a more preferred program sijaelew inakuaj
Ungeeza kuchagua law kabla ya Education alafu pili tuma matokeo yakoKama unavyoona hapo nmeke
Kam unavyoona hapo kwny selection yangu nmekua selected Moja kwa Moja education lakn hiyo selected in a more preferred program sijaelew inakuaj
Uitakiwa utangulie kuchagua Law kwanza kabla ya education. Je una ufaulu
wa kuweza kudahiliwa kwenye Law UDSM pia mbona hutumi matokeo yako watu
wakushauri vizuri.
Shida ndo hiyo Kuna me alinifanyia application na me sikutaka kwenda education kabisaUngeeza kuchagua law kabla ya Education alafu pili tuma matokeo yako
ili watu wajue kama una sifa za kuweza kudahiliwa Law UDSM
We confirm uone matokeo yakeLakni Kuna option ya ku unconfirm halaf ninatak niende mlimani nikapige law
Ila uwezekano wa kupata Law UDSM unaweza kuwa mdogo ukiapply weka UDSM, Mzumbe na vyuo vingine piaShida ndo hiyo Kuna me alinifanyia application na me sikutaka kwenda education kabisa
Law UDSM pass zake za O level na A level kwenye masomo zinabidi kuwa juu mmoIla uwezekano wa kupata Law UDSM unaweza kuwa mdogo ukiapply weka UDSM, Mzumbe na vyuo vingine pia
Kwa pass hizo UDSM Law kupata haiwezekani za chini sana za O Level na A levelJamani nimekua selected course ya bachelor of arts with education Duce lakini ninahitaji kwenda udsm mlimani kusoma course nyingine nifanyaje ili kubadili admissionView attachment 3095928