Msaada: Nawezaje kuhamisha selection yangu kutoka DUCE kwenda UDSM Mlimani kusoma course nyingine tofauti na education

Hivi kweli mnapoteza muda kuanza kumtafutia ufumbuzi huyu mwanafunzi? Hapo DUCE hakuna vitengo husika? UDSM hakuna vitengo husika? Huyo mwanafunzi ashauriwe aende huko, kuna Dean of students pia.
 
Jaribu kuomba Vyuo vingine kozi hio hio unayoipenda,hakikisha una meet vigezo ili iwe rahisi kuchaguliwa..

Kuhusu kuhama sijui nikushaurije apoo maana unaweza kwenda chuo ukisubiri dirisha usifanikiwe pia la msingi hangaika na watu unaowajua wa UDSM do or die uone unapataje Msaada katika suala lako
Kwani Nina uwezo was ku.apply upya
 
Kwani Nina uwezo was ku.apply upya
Kuapply upya unaweza SI una reject TU selection...Sema hapo ni kama una beti maana unaweza usichaguliwe ,uchaguliwe kozi nyingine au upate (Vigezo pia unaweza kuwa navyo usifanikiwe kutokana na ushindani)Imani Yako ndio itakayokuponya

La msingi kuwa na plan B pia ni muhimu yaani mfano ukiachana na sheria naweza soma hiki kinanifaa ndo machaguo yanavokuwa,kitu hukipendi au hukielewi usichague katika options zako.Ni hayo tu nakutakia Kila la kheri
 
Naomba unishauri course gan nikiomba naweza kupat hapo mlimani ukilinganisha na ufaulu wangu
 
Kiukweli mm mlimani sijui wanatoa kozi gani hasa,ww kama mlengwa Kuna malengo Yako unayo kwa sasa ambayo yanakusukuma au kukushawishi kutaka kusomea pale .

Cha msingi kusanya mawazo kwa marafiki,wadau na familia yako kiujumla na La maana zaidi Mshirikishe Mungu akuonyeshe njia sahihi ya wewe kuweza pita maana maisha yako ni hatma yako, unatakiwa ujipambanie kwa asilimia 100.Pia nikutie moyo usikate tamaa simamia hapo hapo unapoamini
 
Nashkur San kwa ushauri wako2 et
 
Back
Top Bottom