MSAADA: Nimedharirika Sana Jana mbele ya Mwanamke

Tafuta dawa ya citalopram uwe unameza kidonge kimoja saa moja kabla ya tendo.
 
Kwa uande wangu napiga cha kwanza kwa dakika 3 hadi 5 then cha pili itarudi baada ya dakika 15 ambayo itadumu kwa dakika 30 hadi 45. Hapo kuna shida
?
 
Umeweka cheklist ambazo huwa ndo sababu kubwa.
1.mazoezi
2.utakuwa ulishawahi sumbuliwa na ngiri utogoni au ulikaa sehem zenye baridi?
 
Umeweka cheklist ambazo huwa ndo sababu kubwa.
1.mazoezi
2.utakuwa ulishawahi sumbuliwa na ngiri utogoni au ulikaa sehem zenye baridi?
Hapana mkuu sijawahii kusumbuliwa na ngirii,,kwenye mazoezii kwelii mm ni mvivu kwenye eneo hilo ila pia nilishawahii kukaa sehemu yenye baridii
 
Tatizo lako linaweza kuwa saikorojia tu. Kuna uwezekano kuna mechi moja tu ya nyuma ndio iliyotengeneza yote. Mpaka sasa hujiamini. Unaweza kujitibu mwenye kwa mambo yafuatayo.
1. Anza kufanya mazoezi makali kidogo yasiyopungua saa 1, kila siku.
2. Ukitoka mazoezi zoea kunywa maziwa na karanga mbichi. Karanga mbichi inaweza kuwa kikombe kimoja kikubwa cha chai kila siku.
3. Zoea kula vyakula vya asili,kama matunda,vyakula vya kuchemsha chemsha. Achana na chips chips hizi.
4. Usifanye tendo la ndoa mara kwa mara kwa mara. Muda wa tiba unaweza kupumzika hata wiki 3 na zaidi.
5. Siku ya tendo jiamini. Kujiamini huko kuwe jiambie *HATA UKISHINDWA HAKUNA TATIZO KSBB SIO KITU MUHIMU NA CHA LAZIMA CHA KUKUFANYA KUSHINDWA KUISHI.
6. Ukitaka kuwa vizuri jitengeneze mwenyewe kisaikorojia. Lifanye hili tendo ni kitu cha kawaida tu,hata usipofanikiwa jione tu wewe ni muhimu tu kuliko tendo lenyewe. Lifanye hilo tendo ni kitu punje tu ktk maisha yako.
 
Dunian wawil watu wa hiv au uko peke yako kaka..
Yaan hujawai piga nyeto
Hunywi,hutumii chochote

Na show hupigii..haingii akilini..sasa kujizuia kote huko kumekusaidia nn maishan
 
Dunian wawil watu wa hiv au uko peke yako kaka..
Yaan hujawai piga nyeto
Hunywi,hutumii chochote

Na show hupigii..haingii akilini..sasa kujizuia kote huko kumekusaidia nn maishan
Huo ndio ukwelii kaka,lkn pia Sio kwamba najizuia kufanya vitu hivyo but Sipo interested tuu na vitu hivyo
 
Mboga za majani Kula kwa wingi,maji kunywa sana pia pendelea kuifanyia masaji mashine yako (usipige penyeto)
 
Tafuta hela tu
 
Nitafute PM kama hautajali.
 
Jiamini tu utaweza
 
Nenda hospital wakucheki inawezekana hormone zako za kiume(testosterone) ziko chini mno.....! Maana hujawahi kupiga punyeto hiyo ina maana una low sex libido, tatizo litakua hormone nenda hospital una tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…