MSAADA: Nimedharirika Sana Jana mbele ya Mwanamke

MSAADA: Nimedharirika Sana Jana mbele ya Mwanamke

Mtoa mada una hofu tu na ndio inayokuua. Fanya tizi, jiani ondoa hofu, kingine cha mwisho, kila mwanaume ana uwezo wake
 
tatizo lilianzia hapo kwenye kutopiga punyeto toka kuzaliwa maana yake homoni zako za kiume zilikuwa chini sana wakati wa balehe pigana kuboost testerone level iwe juu kunywa mayai ya kienyeji mabichi wakati wa kwenda kulala atleast mawili kwa mara tatu kwa wiki huku ukifanya mazoezi
 
Mimi naona apo shida ni hofu ambayo inaweza sababishwa na vitu vifuatavyo
✓Msongo wa mawazo ( too much expectations)
✓ mtu uliye kutananae ulikua unamuogopa au ujamzoea

Subili waje wajuzi wa aya mambo maana jamiiforum Kila mtu anaunganisha bao pia anapiga zaid ya 4 Kila bao linachukua dakika 45+ [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23]Isipokuwa mimi na mtoa mada. Binafsi mapenzi nilikwishaachana nayo zamani tu
 
INSIDER MAN msaidie mwenzio ulipona vp

Pia mcheck Instagram Dr Mathew nadhani hapa Jamii Forum yupo pia
 
Mimi naona apo shida ni hofu ambayo inaweza sababishwa na vitu vifuatavyo
✓Msongo wa mawazo ( too much expectations)
✓ mtu uliye kutananae ulikua unamuogopa au ujamzoea

Subili waje wajuzi wa aya mambo maana jamiiforum Kila mtu anaunganisha bao pia anapiga zaid ya 4 Kila bao linachukua dakika 45+ [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
(1). Sijawahii kupiga punyeto kabisa katika maisha yangu Tangia nizaliwe huaga nasikia tuu kama storii.
(2). Mimi sio mpenzii wa video za ngono au niseme huaga siangalii au sijawahii kuwa mraibu wa video za ngono.
Haya ndio matatizo yako ya kwanza. Ysn mchawi yuko hapa kuelekea kutafuta tiba ya kudumu
 
Haya ndio matatizo yako ya kwanza. Ysn mchawi yuko hapa kuelekea kutafuta tiba ya kudumu
Unamaanisha Nini mkuu na hivyo vitu sijawahii kuvifanya ndio maana nikaandika mapema ili mtu anaponishaurii ajuee kabisaa kwamba tatizo langu halitokanii na hivyo vitu ambavyo mara nyingi ndivyo vinavyosabababisha
 
Unamaanisha Nini mkuu na hivyo vitu sijawahii kuvifanya ndio maana nikaandika mapema ili mtu anaponishaurii ajuee kabisaa kwamba tatizo langu halitokanii na hivyo vitu ambavyo mara nyingi ndivyo vinavyosabababisha
Kupitia punyeto unaweza kujua wewe una tatizo gani hasa. Nakushangaa unavyosema eti hujawahi kugusa nyeto kabisa. Kupitia punyeto na porn unaweza kujua kama una tatizo la psychology na confidence, kwa muda gani unaweza kaa kiunoni. Hilo tatizo hujawahi kupitia wewe peke yako na sina maana uanze kuangalia porn na kupiga nyeto ila kiukweli mimi hivyo vitu vimenisaidia mno. Muhimu ni kurekebisha saikolojia yako ona kama ni jambo la kawaida tu usilitilie sana maanani

Lakini pia zingatia mazoezi hasa ya viungo. Kukimbia, kegel, kuruka kamba yan all the calithenics are the best. Kula matunda hasa tikitimaji, ndizi, parachichi, jitahidi pia upunguze sukari fanya kawaida ya kunywa maziwa changanya na asali walau kikombe kimoja kila siku. USISAHAU KUTAFUNA KITUNGUU SWAUMU WALAU PUNJE MOJA KILA SIKU.
 
1. Kunywa maji mengi;
2. Fanya mazoezi;
3. Boresha chakula. Ongeza matunda na mboga mboga;
4. Piga sea moss(at least vijiko viwili kwa siku utaanza kuona mbadiliko ndani ya wiki mbili au tatu).
 
Kama mkeo hajalalamika hivyo viwili vinamtosha we tafuta fedha tu.Hapo ni sawa na wewe ni mfupi alafu unalazimisha uwe mrefu.
 
Kama mkeo hajalalamika hivyo viwili vinamtosha we tafuta fedha tu.Hapo ni sawa na wewe ni mfupi alafu unalazimisha uwe mrefu.
 
Nilianza kuwa na performance nzuri baada ya kuizingatia hiyo namba sita.
Najua ndio maana nimekwambia. Unajua kwa nini umerudi kule kule? Umeiacha hii itembee kichwani mwako. Badala yake unaruhusu wasiwasi wa je nitamtimizia huyu demu mbele yangu. Badala ya kulichukulia kawaida kama mnaenda kupiga story tu,ondoa kabisa na habari za mitaani kuwaza kwanza kumfurahisha mtu.

Hiyo ni burudani kwa wote usithubutu kujiumiza kimawazo. Anza kwanza kwa kupiga kimoja tu. Kikitokea cha pili usichukulie ajabu,ona kawaida tu
Kwanza mnadanganya tu huko mitaani eti kumfurahisha demu mpaka umgonge vingi,sio kweli. Wahindi wanaburudishana tu na vibamia vyao kwa kimoja tu.

Sehemu ya mwisho ukitaka ufike kileleni kwa muda mrefu ni uamuzi wako tu. Kwanza anza gemu bila kulipania. Ukiwa kwenye mechi kila wazungu wanapotaka kuja unaweza kusimama au kuchomoa kabisa. Hapo usiwaze kumfurahisha tu,waza kuburudika wewe tu. Yeye ataburudika kufuatana na midundo yako tu. Unaweza ukawa unaendelea hivyo mpaka utakavyoamua kuachia.

Na nakuambia ukifanikiwa kusimama usiachie mara ya kwanza tu,ujue hiyo mechi inaweza kuendelea hata lisaa. Na demu wako anaweza kuachia hata mara 4. Cha msingi usiwaze kumfurahisha yeye.
 
Nenda Hospitali utapata tiba sahihi.
Ukipata Urologist mzuri tatizo lako linatibika kabisa.
Huenda una low testosterone.
 
Mdogoangu acha kukaa vijiwe vya wanawake na kupiga nao stori kama shost yao

Ile mentality ya kike inapunguza uzalishaji wa homoni zinazochochea kemikali za kudindisha mboo kwa muda mrefu...

Pili usiwe na mdomo cement+kokoto+mchanga, angalia demu unaeona unammudu kwa maongezi ya kingono mwambie una hamu nae, na unatamani kumuoa hata mda huohuo (anajua sio kweli ila anakua ameshajua unamtamani hivyo atakukatalia kukujaribu kama umedhamiria au vipi maana umeshaamsha hisia za kutiana)

mkazie ukifanikiwa fanya "ngono salama" akikutosa au akikubali malizana nae mweke pending tafuta mwingine na mwingine na mwingine, wasipungue watano na wasizidi 10..hakikisha ni "matendo salama" na ni kwa madem ambao sio wale wa sodoma wala sio wale "Wacha Mungu"

(onyo usifanye hicho kitendo kwa yule unaem-target km mke mtarajiwa, maana utakua na hofu ya kuaibika, ila huko unakofanyia mazoezi hujali outcome..)

muhimu acha kukaa na wanawake zaidi ya mmoja na kuongea mambo ya wanaume wenzako..
(Una ugonjwa wa kisaikolojia zaidi labda uwe umepitia kitendo kiovu utotoni au matibabu ya mionzi)
 
Back
Top Bottom