MSAADA: Nimedharirika Sana Jana mbele ya Mwanamke


Duuh,wengine tunakosa hela tu za kuhonga mbususu,wengine mbususu zipo tele ila jogoo halipandi mtungi,kweli Dunia ya mungu mali za mzungu.
 
Acha punyeto na kuangalia video za ngono. Jf watu wazima tupo narudia acha kabisa kujichua na itakuchukua muda mrefu kurudi katika hali ya kawaida ila cha kwanza acha upigaji wa punyeto then mengine tutaelekezana baadae.
 
Kuwa mwembamba sio kigezo cha afya njema, unaweza kuwa mwembamba unhealthier, na unawweza kuwa kibonge healthier.

Cheki BMI yako.
Ukiweza cheki cholesterol level
Cheki blood BP
Cheki sugar
 
Wakuu mkimaliza story ya Mercy kuna nyingine ya Jane uku mtoto wa Singida

 
Nilianza kuwa na performance nzuri baada ya kuizingatia hiyo namba sita.
 
Pole...mkuu mimi nisineweza vumilia kwakweli
 
Dkk mbili mbona nyingi hvy, kwan unataka kunyofoka na uzazi wa mtu mpaka umfanye dkk zote hizo mbili.?
 
Kwanini hujawahi kupiga punyeto ndio sababu ya kwanza
 
Hapana mkuu sijawahii kusumbuliwa na ngirii,,kwenye mazoezii kwelii mm ni mvivu kwenye eneo hilo ila pia nilishawahii kukaa sehemu yenye baridii
1.Fanya mazoezi hasa kukimbia
2.Kunywa sharubati ya miwa(juice) sana
3.Tafuna sana sukari mawe.
Tende+maziwa+alkasusu+tangawizi(hii imekamilika)..
Haya usilalamike formula hizo tayari fanya utakayoweza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…