MSAADA: Nimedharirika Sana Jana mbele ya Mwanamke

Natoa ushuhuda hapa, (huu mtazamo ni wangu, kutokana na uzoefu nilionao).
Hakuna Tina ya haraka au msaafa hususani katika swala la tendo hili adimu. Kwa kipindi Fulani katika maisha yangu, kwa mfululizo wa miaka 7, nilikuwa ni mtu wa mazoezi sana, kukimbia, push up nyepesi, mazoezi ya viungo n.k. (ukiachana na kubeba chuma). Kwa ujumla mazoezi haya yalinijengea afya imara na isiyoteteleka hususani kwenye suala Zima la sex. Niliweza kukimbiza kwa muda usiopungia dakika 20, tena kwa kuunganisha bao moja mpaka tatu na still Bado uumpe ukaendele kusimama kama chuma vile ilihali miwili umechoka sana. Niliweza haya kutokana na mazoezi na mpangilio wa chakula.
Matunda (ndizi mbivu, parachichi,tango,maembe)
Mboga za majani
Maji mengi (ya kunywa)
Lishe (uji niliokuwa najipikia)
LAKINI baada ya hapo hali imekuwa tofauti kidogo (uwezo umepungua) kwa sababu Sina ratiba kama niliyokuwa nayo hapo awali, changamoto za kimaisha pia zinachangia, msongo wa mawazo pia ni sababu, mpangilio wa chakula pia unebadilika. Hivyo basi hali ya kwenda mizunguko mingi kwenye sex inachangiwa na sababu kuu 3👇👇👇
Mazingira
psychology
Baiolojia. Hivyo nenda taratibu utapata msaada usikutupuke na wale njoo inbox ili wakuuzie vumbi la congo.
 
Hayo ndio majaaliwa yako ndugu. Kuna wengine waliumbwa wa enjoy sex na kuna walioumbwa waweze zalisha tu.

Dakika zako mbili ni kwa ajili ya kutungisha mimba tu. Kubaliana na hali yako maisha yaendelee.
Kabisa inabidi tukubaliane na sie wenye vibamia kuwa kugegeda kwetu ni dakika mbili kwishneeey!!
 
Kama si mkeo hakuna tatizo. Malaya ukishapiga bao mlipe aende atajua mwenyewe.
 
fanya kukimbia walau nusu saa kwa siku,kunywa maji ya kutosha, punguza vyakula vya wanga Kama ugali na wali badala yake tumia , parachichi, supu, mboga za majan na matunda , alafu jitahid kupiga push up 100 kwa siku., fanya kwa siku 90 utaona matokeo
 
Nikuulize labda una uzoefu gani na wanawake pia je unafanya mazoezi hata ya push ups tu kabla yakujiandaa kwenda mishe?
 
Kama haya humkuta mtu asie na experience na nyeto, basi sitaiacha nyeto.
 
Hayo ndio majaaliwa yako ndugu. Kuna wengine waliumbwa wa enjoy sex na kuna walioumbwa waweze zalisha tu.

Dakika zako mbili ni kwa ajili ya kutungisha mimba tu. Kubaliana na hali yako maisha yaendelee.
wewe ndio umeamua kummaliza kabisa
 
Mbona unaanza kujitetea kuwa hujapiga nyeto?
Hiyo hali ya kutokupiga nyeto ndiyo iliyokuletea hayo madhara
Wapiga nyeto usiombe wamshike hicho kidemu chako. Utaachwa mchana kweupe
 
Nenda hospital wakucheki inawezekana hormone zako za kiume(testosterone) ziko chini mno.....! Maana hujawahi kupiga punyeto hiyo ina maana una low sex libido, tatizo litakua hormone nenda hospital una tatizo
[emoji23][emoji23][emoji23] kuna watu wameoa na still nyeto kama kawaida
 
Kunywa maziwa fresh kabla haujaenda kuperform
 
Sijui kwann wabongo mnawaza, mwanaume akiwa na tatizo ktk sekta ya ngono, bas ni Gay au ana hormone za kike, au ana hulka/mentality ya kike.

Hivi mnajifunzaga wapi hii?
 
Nitafute inbox nikupe ushauri. Ndani ya mwezi mmoja utakuepo na performance ya hatari mno ambayo hujawahi kuwa nayo kabisa . Wewe nitafute inbox tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…