miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
Kama anampenda mchepuko mwache sole awe na Maisha yakeNormally huwa sicomment thread za,namna hii,but maelezo yako yamenigusa.
Ushaur wangu
DON'T EVER LEAVE THAT MCHEPUKO OF UR'S
She's too good, she don't deserve heart broken.
Hata kuongelea watoto kama anao hajasema .Unayaona sana mazuri ya mchepuko kwakua umeamua kuzingatia mabaya tu ya wife. Sijaona sehemu umezungumzia hata zuri moja la wife, uliwezaje kuoa mtu wa hivyo bas? Ulilazimishwa au niaje?
We ni mtu mzima kukumbushwa kwamba kila mtu ana mapungufu yake, na kuoana na mtu ni kukubaliana nayo kwamba unayamudu
Nakubali, hati miliki ya madhabauni inazinguaga sana mkishapewa!Sijasema ajilazimishe huko nimemfungua macho endelee kuchuja sababu wanawake wote tupo watamu kabla ya kupewa umiliki halali baada ya umiliki mara nyingi mchezo unabadilika huyo mchepuko asitegee akiwa mke atakuja kumwamini na inawezekana akawa mbaya zaidi sababu anakumbuka jinsi ulivyomfanyia mke wako .. atakuwa very defence na akishakuwa hivyo ni kule Kule karudi
Sent from my SM-A705FN using JamiiForums mobile app
Kweli kwa hiyo awe makini hiyo ni njia anatumia bidada hasa kama anamueleza madhaifu ya mke,Nakubali, hati miliki ya madhabauni inazinguaga sana mkishapewa!
Nimependa sana ushauri wako mkuuHuyu Mke wako mnawatoto kwenye familia?Umedumu naye muda gani??
Yupi unampenda kweli?? Je dini yako inaruhusu kuoa mke wa pili?
Kunajamaa aljacha mke wake akalogwa mpaka akadead .Mbona wife wako anakuwa mtukutu tabia yake huichunguza kabla unao
Je unaweza kuwahandale wote wawili??
Je huyo mwenye certificate anajua unamke??
Ukiweza owa wote !
Mwambie wife akiendelea hivyo utamwacha .
Kuna Mwalimu alikosana na mke wake Nyumba ikamshinda kabisa akahama akaenda kujenga na kuishi pengine
Chakushangaza yule mwanamke akamtumia Majamba yakamnyonga yeye na kaka yake
You grown up .Enough to think and do it
THINK
T--- is it True
H-- is it Helpful
I --- is it Important
N-- is it Necessary
K-- is it Kind
Fikiria sana sana hata watu wakitoa ushauri hapa
Kazi kwako sasa Mkuu
Mchepuko unamchanganya baada ya kumuweka wazi mke kwa mchepuko .Mkuu mie nimesoma vizuri mada yako ila mbona sijaona tatizo lolote kwenye Maisha yako ya mapenzi. Unasema mkeo ana tabia Fulani na ndio uliyemchagua kwa nini unashindwa kumnyoosha kama mwanaume. Haya madhaifu yake unayajua kwa nini usijifunze kuishi nayo na kumtendea mema atajirudi tu
Una mchepuko mnaelewana una enjoy tu Maisha sasa unataka nn Zaidi ya hilo. Cha muhimu elewa kuwa mke ni mke na mchepuko ni mchepuko na daima usifanye comparison ya mke na third party. Heshimu mke kama mke na mchepuko pia una raha yake ila ishi nao kama mchepuko usiupe nafasi ya mke.
Nimeishi miaka 20 ya ndoa na siku zote nimekuwa na michepuko tofauti tofauti ila katu sijawahi kuipa nafasi kubwa kama ya mke. HUO NDIO UANAUME
Sasa wewe sijui una tatizo gani hapo? umeuchoka mchepuko? au humtaki wife?
Na siku mkewe akijua ndio tutakuja kusikia" mwanaume mmoja mkazi wa....akatwa nyeti na mkewe kisa...."Endelea kuchepuka tu huku ukifanya mambo yako ya maendeleo kwa siri. Ukiweza anaza kujijenga kama kuwa na viwanja au hata mali zingine bila mkeo kujua...!!!
Wewe na mimi, same script different cast...!!!
Ukiwa kwenye ndoa, mke huwa anaanza kuonekana hafai unapopata mwanamke wa nje na kuanza kumlinganisha naye.
Mbona mbunye hai proclaim 😁Hawakosei kubeba majukumu
Kazi ya mwanaume kuhudumia familia hela ya mkeo ni yake
Hao warembo wanataka pesaMbona mbunye hai proclaim [emoji16]
Mwanamke mrembo/mzuri hutaka wanaume wakwasi wote wawe wake (awamiliki)
Na wanaume wakwasi woote wanataka warembo woote wawe wao (wawamiliki)
NGUVU YA UCHUMI NI SUBJECT TO ALL.
Yaani ukatishwe katikati ya kuichakata mbunye hata kina trump hawajafika😁Mema ya kunyimwa utamu au kupewa kwa shingo upande huku akilalama jamaa amalize haraka au hata amuachie njiani!? 😳😳
Hapana AISEE!