Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndyo maana hakuna faida ya mwanamke kufanya kazi si bora alee watoto kama pesa yake ni yake peke yakeHawakosei kubeba majukumu
Kazi ya mwanaume kuhudumia familia hela ya mkeo ni yake
Faida ipo mkuu atajinunulia vitu vyake bila usumbufu mwingi japo usumbufu kidogo upoNdyo maana hakuna faida ya mwanamke kufanya kazi si bora alee watoto kama pesa yake ni yake peke yake
At least wewe umemwambia ukweli, wanawake tuna target. Tena anasema Mara anamsaidia akikwama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hio misaada Kuna siku itarudi 10X au zaidi na presha juu...asee kama huyo mchepuko anajua kabisa jamaa ameoa na still yuko nae na anajifanya ndo ana mahaba sana,Kaka jiandae!Hata mkeo anayo mema yake mengi tu ila kwakuwa unatafuta sababu za kujustfy uzinzi wako huwezi kuuelezea.
Sasa ulitegemea mchepuko aweje wakati kuna faida anayoipata? Kupritend kwa mpita njia unaefaidika nae ni rahisi sanaaa kuliko kwa mtu mnaeishi pamoja.
Hangaika tu, utakipata unachokitafuta. Mnazivuruga ndoa zenu wenyewe halafu baadae mtafute mchawi.
We muache ajione mjanja, mjini mipango eti!!At least wewe umemwambia ukweli, wanawake tuna target. Tena anasema Mara anamsaidia akikwama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hio misaada Kuna siku itarudi 10X au zaidi na presha juu...asee kama huyo mchepuko anajua kabisa jamaa ameoa na still yuko nae na anajifanya ndo ana mahaba sana,Kaka jiandae!
Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
Ni swala la muda tu [emoji23][emoji23][emoji23]We muache ajione mjanja, mjini mipango eti!!
Maana ndicho anachotaka.Achana na mkeo muoe Huyo mchepuko.
Anatafuta namna gani ata justify [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nasisi hatuna hiyanaMaana ndicho anachotaka.
kabisaMaana ndicho anachotaka.
Yeah amuache tu, maana ndicho anachotafuta.Anatafuta namna gani ata justify [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nasisi hatuna hiyana