Msaada: Nimepatwa na changamoto kwa "Wife" na huyu dada

Msaada: Nimepatwa na changamoto kwa "Wife" na huyu dada

Hata mkeo anayo mema yake mengi tu ila kwakuwa unatafuta sababu za kujustfy uzinzi wako huwezi kuuelezea.
Sasa ulitegemea mchepuko aweje wakati kuna faida anayoipata? Kupritend kwa mpita njia unaefaidika nae ni rahisi sanaaa kuliko kwa mtu mnaeishi pamoja.

Hangaika tu, utakipata unachokitafuta. Mnazivuruga ndoa zenu wenyewe halafu baadae mtafute mchawi.
 
[Pole sana ndoa ndo zilivyo jitahidi kuvumilia kwan ndo chaguo lako
QUOTE="Komeo Lachuma, post: 35646672, member: 256453"]
Nmeyumba kidogo kiuchumi toka mwezi wa 1. Kutokana na Corona na sehemu nyingi duniani kuyumba kiuchumi pia.

Binafsi huwa nanunua kila kitu mwisho wa mwezi na kuweka nyumban.kila kitu kwa maana ya kwamba hata ikitokea mwezi mzima tukaamua kukaa ndani bila kutoka tutaishi vizuri tu. Pia mwisho wa week naenda nunua vegetables like nyanya,vitungu,carrots etc ambavyo haviwezi kaa mwezi hadi mwezi.

Pamoja na hayo kila siku naacha tsh 7000 nyumbani. Hiyo siulizi watanunulia nini coz kila kitu kipo.mafuta ,gesi,sukari,mchele n.k

Kutokana na hali ya uchumi kuyumba kiwango cha kucha home kilipungua.from 7000 mpaka 5000 na sometimes 4000. But still mahitaji mengine kama kawaida.hapo nami najiwekea mafuta kila week kwenda kazini.

Wife hajawa muungwana. Nampa pesa sometimes anafoka sasa hii ya nini(kwa maana ya kwamba ni ndogo kuacha home)

Pamoja na kuwa hata yeye anafanya kazi.but akinunua kitu lazima nije kumrudishia pesa.so imefikia hatua nikawa napata mawazo sana.binti mmoja aliona sipo ok.huyu ni rafiki toka miaka ya nyuma sana 2014.

Sababu ya kujali na nini akawa karibu nami na mwishowe tukawa wapenzi.kiuhalisia yeye anaonesha kujali sana.atanipa pole.atanisaidia napokwama n.k.nmejaribu kumwambia sipo vizuri kiuchumi ili anikimbie.ndo kwanza ananitia moyo.

Hili huwa linanitesa sana.anaonesha kunipenda no matter what.na kuniheshimu.nlijaribu kuangalia kuwa maybe mke wangu ana nicheat...miaka yote hii sijapata ushahidi wowote.so yupo hivyo tu ni mkaidi na si mtu wa huruma sana.

She is cold hearted. Mjeuri sana kwa almost kila mtu.hana marafiki wengi na mara nyingi hugombana na rafiki zake coz anajiona ni much better than them.

Sasa napata shida huyu mpango wa kando sometimes ndo nawish angekuwa mke.ana sifa zote kwa uzuri wa sura na umbo na very romantic pia.ingawa hana elimu kubwa.ana certificate tu.

Sasa inafikia hatua nawaza kufanya naye mambo ya maendeleo.coz anapokuwa na jambo ananishirikisha nikimshauri anafanya.tofauti na wife ni mkaidi mpaka jambo liharibike ndo anakubali alikosea.

Huyu dada nlimshauri aache kazi alipokuwepo afanye biznez flan.akaacha kweli na kuanza kwa nguvu hiyo business. Sasa anatengeneza pesa.anajituma sana.mdada anaondoka saa 11 na kurudi home saa 2 usiku.ukimwona huwez mdhania sababu ya uzuri na mwili wake.but si mvivu hata kidogo.

Pia kwenye mapenzi anajituma sana ...anaonekana kabisa ana enjoy mapenzi sana nami.popote tuna make love na kufurahi.wife tukifanya naye akimaliza tu hapo anaanza kunambia nimalize na sometimes ananiacha sijamaliza anaomba alale.hii nayo ni shida kwangu.

Sasa najikuta kwenye hard time sana.maana huyu dada ananipenda na kunisikiliza sana. Nikimwambia jambo analifanyia kazi.na si kwa sababu anapata pesa kwangu.No. yaani yupo hivyo tu.

Naumia ndugu zanguni.nawaza nifanye nini sababu nashindwa kumwacha huyu dada.hata kumtafutia sababu ni ngumu. Hajanikosea toka miaka yote namfaham.hajawahi nikosea. But naumia pia namsaliti mke wangu.

Nipo njia panda sana katika hili.nahitaji faraja lakini aliyepaswa kunipa faraja doesnt do that.badala yake mtu mwingine kabisa ndo anachukua jukumu hilo.

Ushauri wenu.
[/QUOTE]
 
Kila mwenye roho ya usaliti hutafuta lisababu tu la kumwonesha mtu yeyote kuwa; Mimi sikutaka yawe hivyo ila, huyu mwanamke niliyemuoa ndo kakosea. Je ningefanyaje? Kwenye mapenzi ya kweli hakuna hesabu yoyote. Ulipoanza kumhesabu mkeo matendo yake ndio siku ulimtoa moyoni. Leo hata angekulamba miguu, utasema; Ulimi wake sio laini kama wa mchepuko wangu. Mpe uhuru huyo mchepuko aolewe na mume wake ampendaye, wewe rudi nyumbani, mbona kumenoga? Mke ni mkeo tu, kumbuka ulichokiona kwake hadi ukavuta ndani. Huo mchepuko nao uliona kitu flan, kakitengeneze kwa mkeo kwa ku copy and pest. Kwa mkeo kitakuwa cha kudumu. Hawara hata siku moja hatamzidi mke
 
Hata mkeo anayo mema yake mengi tu ila kwakuwa unatafuta sababu za kujustfy uzinzi wako huwezi kuuelezea.
Sasa ulitegemea mchepuko aweje wakati kuna faida anayoipata? Kupritend kwa mpita njia unaefaidika nae ni rahisi sanaaa kuliko kwa mtu mnaeishi pamoja.

Hangaika tu, utakipata unachokitafuta. Mnazivuruga ndoa zenu wenyewe halafu baadae mtafute mchawi.
At least wewe umemwambia ukweli, wanawake tuna target. Tena anasema Mara anamsaidia akikwama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hio misaada Kuna siku itarudi 10X au zaidi na presha juu...asee kama huyo mchepuko anajua kabisa jamaa ameoa na still yuko nae na anajifanya ndo ana mahaba sana,Kaka jiandae!
 
Siku zote Mtu akikuchoka atakutafutia ubaya kwa namna yoyote.
Upo negative kwa mkeo it's obvious hamuwezi tena kwenda njia moja,
umekuwa Mtu wa kumtafutia makosa na yeye anatafuta namna ya kujihami.

Achana na mkeo muoe Huyo mchepuko.
 
Twende mbele na kurudi nyuma, mwamba huipi nidhamu pesa. Yaaani kila kitu kipo, mpaka cabbage na matunda unanunua bado Tena unaacha 7000/ yanini Sasa. Na yeye anafanya kazi

Unapo punguza lazima azingue Maaana HUENDA mafundi wake wapo kwenye finishing halafu wewe unapunguza mzigo.
Wanawake siyo ndugu zetu mzee, hawahitaji demokrasia!

Mwanamke hatakiwi kuoneshwa kupendwa Atalewa sifa.

Sasa mzee, sikushauri kuchepuka ila Kama unayo nafasi ya kuoa polygamy, uoa huyo wa pili. Na huyu mke mkubwa Kama hujazaa nae , Bora ufanye maamuzi mapema ya kumuacha au kukubali kupata ugonjwa wa moyo .

Halafu dharau yaaani nakupa pesa useme pesa gani . Halafu bado unampa na kesho. HAKUNA MKE HAPO KUNA KIBUBU
 
At least wewe umemwambia ukweli, wanawake tuna target. Tena anasema Mara anamsaidia akikwama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hio misaada Kuna siku itarudi 10X au zaidi na presha juu...asee kama huyo mchepuko anajua kabisa jamaa ameoa na still yuko nae na anajifanya ndo ana mahaba sana,Kaka jiandae!

Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
We muache ajione mjanja, mjini mipango eti!!
 
Back
Top Bottom