Msaada: Nimepatwa na tatizo hili kwenye tupu yangu, itakuwa ni ugonjwa gani?

Msaada: Nimepatwa na tatizo hili kwenye tupu yangu, itakuwa ni ugonjwa gani?

Ashachukuwa notes ni jukumu lake kulifanyia kazi apunguze gharama za kununua vipodozi, mijimama ya Tanga huwa inajipaka usoni kabisa na ina ng'aa kama almasi
Tena akiwa anazimeza na kumwagiwa ndani atakua na umbo zuri kuliko posh
 
Kama sababu ni joto; Wacha kipasuke kwanza halafu tumia alcohol swab kusafisha halafu chukua metronidazole kidonge kimoja kisage afu chukua amoxcilin changanyia weka pale kwenye jeraha!
 
Umekosea kuambatisha picha kama hivyo.

Ungeelezea tatizo kwa maandishi.

Ila ushauri wangu ,Fanya kufuatilia hali inavyoenda.
Kama vijipu vingine vikiongezeka basi ugonjwa utakuwa unaongezeka.
Itabidi uende hospital.

Ila kama Hiko kijipu kimoja kikipasuka na kukauka basi haina haja ya kuwa na wasiwas umepona
Kuweka picha Haina shida Mzee wangu, Sasa utaelewaje bila picha.. na sijaweka sura yangu
 
Kumbukeni mwenzenu anaumwa 🤣😂🤣😂
Ni ni moja ya tabia ya hovyo kwa wabongo walio wengi hawachukulii mambo serious hata kwa yale yanayohitaji kuwa serious

Mtu anaumwa amomba msaada wao wanakuja kuleta mzaha usio na maana

Utakuta mtu ana miaka 30+ ila bado anashangalia pic ya mboo iliotumwa badala ya kutoa msaada ata wa mawazo kwa muomba msaada

Yaani wamekua wa hovyo kbs
 
Usoni?🤒🤒
Eeeeh
Ni ni moja ya tabia ya hovyo kwa wabongo walio wengi hawachukulii mambo serious hata kwa yale yanayohitaji kuwa serioua

Mtu anaumwa amomba msaada wao wanakuja kuleta mzaha usio na maana

Utakuta mtu ana miaka 30+ ila bado anashangalia pic ya mboo iliotumwa badala ya kutoa msaada ata wa mawazo kwa muomba msaada

Yaani wamekua wa hovyo kbs
Mkuu hata huyo mleta mada naye kaamua kuchangamsha jukwaa tu
 
Back
Top Bottom