Msaada: Nimepatwa na tatizo hili kwenye tupu yangu, itakuwa ni ugonjwa gani?

Msaada: Nimepatwa na tatizo hili kwenye tupu yangu, itakuwa ni ugonjwa gani?

Wewe hujai kuumwa wewe😄,. Mda huo akili inawaza tu kupona
Nishawahi kuumwa jino nikajifa ya kukomaa...naenda hospital Dr ananiambia tusafishe tufanye root canal, nimeng'oa sikutaka tabu baadae
 
Back
Top Bottom