Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,226
- 8,879
Sperms zinavuja pasua hapo, anyway ningekuwa wewe ningeacha mpaka kipasuke
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh ukapona kabisa mkuuMkojo ulishawahi kunitibu ulcers ule wa asbh kabisa
HahahaEti maji ya betri yale makali looh,.
Halafu aliyeanzisha hii habari ya kuwa maji ya betri yanatibu sijui nini nini inabidi akamatwe,. Maana kunae mtu huku kwetu aliambiwa ni dawa ya jino akatia meno yake yote sikuizi yanatoka toka tu bila mpangilio
Sikuizi ndio nimejua kuwa hadi tangawizi kumbe ni dawa,. Sema kipindi hicho nlikuwa sijui🙄🙄🙄 duh sa tonses si kuja dawa zake ata za kienyeji mdogo wangu
Nilipona mkuu lakini ni mkojo wangu mwenyeweDuh ukapona kabisa mkuu
Uko kama mimi mkuu,. Sipendu kero kuhangaika na kitu mwaka mzima siwezi
Wanasema ukubwa ni dawa walimaanisha ujueSikuizi ndio nimejua kuwa hadi tangawizi kumbe ni dawa,. Sema kipindi hicho nlikuwa sijui
Basi kumbe mie sikudanganywa😃,. Kama hadi unatibu Ulcers basi kweli ni tibaMkojo ulishawahi kunitibu ulcers ule wa asbh kabisa
Ok sawa mkuuNilipona mkuu lakini ni mkojo wangu mwenyewe
Yeah nimeaminiWanasema ukubwa ni dawa walimaanisha ujue
Duuh🤔🤔,. Nitakuwa makiniUsijaribu tena hizo habari za kunywa mkojo utakuja kupata tatizo la Figo hutoamini yaani unakunywa sumu iliyotolewa wewe unaurudisha mwilini
Ata sperm ni dawa na tiba kwa miili yenu iyo inajenga shape 😆😆😆Yeah nimeamini
Wewe hujai kuumwa wewe😄,. Mda huo akili inawaza tu kuponaMkojo si mbaya sana...ila maji ya betri hivi kweli unachukua unaweka akili zinakuwa ziko wapi, toka unafungua cap za betri mpaka mdomoni 😔
Wewe sema kweli?,.Ata sperm ni dawa na tiba kwa miili yenu iyo inajenga shape 😆😆😆
Uzi unakimbia sana kisa kichwa cha kongaDakika 45 minutes tupo page ya 8
Nataka niagalie vizuri tatizo ndani na nje nimpe tiba☺️We binti unataka kuangalia nn!
Anza kutumia na umwagiwe ndani na utakuwa msupa hataree😛Wewe sema kweli?,.
Ngoja niscreenshoot hii nimtumie kijana wangu,. Watu mna siri sana aiseeAnza kutumia na umwagiwe ndani na utakuwa msupa hataree😛