Msaada: Nimepatwa na tatizo hili kwenye tupu yangu, itakuwa ni ugonjwa gani?

Msaada: Nimepatwa na tatizo hili kwenye tupu yangu, itakuwa ni ugonjwa gani?

Eti maji ya betri yale makali looh,.

Halafu aliyeanzisha hii habari ya kuwa maji ya betri yanatibu sijui nini nini inabidi akamatwe,. Maana kunae mtu huku kwetu aliambiwa ni dawa ya jino akatia meno yake yote sikuizi yanatoka toka tu bila mpangilio
Hahaha
 
Back
Top Bottom