Msaada: Nimepatwa na tatizo hili kwenye tupu yangu, itakuwa ni ugonjwa gani?

Msaada: Nimepatwa na tatizo hili kwenye tupu yangu, itakuwa ni ugonjwa gani?

Mmh! Pole
Inaonekana imekula mileage za kutosha.
Nenda hosp. haraka.
 
Ila kichwa cha uboo wako mbayaa,afu ngozi imekunjamana km ya mzee?
Na kuna mtu anaunyonya huo? Kuna watu majasiri, mweeeh.

Nweeiii polee kwa tatizo, wahi hospital kwa matibabu. Duuh
2289386_2289265_14eaa34c-6bd0-49bd-bf25-7086a7fdbf59.gif
 
haukua msuguano wa kawaida, kuna uwezekano umeokota na wadudu waambukizwao kwa njia ya kupiga kavu, ila usiwaze kila ugonjwa unatibika, issue ni kuwahi tu.
nenda kituo cha afya, wata ku screen for STIs kisha utapewa dozi za kunywa na kupakwa, in 2 weeks uko poa kabisa.

somo ni kutokuuza mechi kavukavu, kutopeleka moto mahali pagumu/pakavu, kama anakauka sana mtumie vilainishi, na mate sio kilainishi.
 
Sijui ni tatizo gani ila chanzo chake kwa asilimia kubwa ni Avatar yako hiyo, kisaikolokjia inaelezea tabia.
 
Back
Top Bottom