Msaada: Nimepewa siku 30 niondoke nyumbani kwa Baba mkubwa

Miezi mitatu ya chumba kipya 90K + ya deni la chumba cha mwanzo 90K jumla 180,000 Tzs...So bodaboda uliuza kwa 180,000 ausio.
 
Miezi mitatu ya chumba kipya 90K + ya deni la chumba cha mwanzo 90K jumla 180,000 Tzs...So bodaboda uliuza kwa 180,000 ausio.
Wapi nimetaja kiasi cha kodi nilichokuwa nalipa nyumba ya mwanzo na nyumba mpya hadi uje na hizo hesabu?!
 
Unaamsha na kasi ya ajabu
 
Ukiishi kwa watu inabidi uwe mtu wa kujiongeza, ishi kwa namna ambayo hata ukitaka kuondoa wanasikitika wanatamani ubaki, yani usiwe mzigo kwa watu.
Hadi kuambiwa hivo lazma umekua mzigo, na hivi una simu janja bila shaka unaperuzi tu masaa yote, pole
 
Kwani unajaribu ku-prove nini hasa?!
Used Mchina haijawahi kuzidi 800,000, ila ukiwa na shida hata 250,000 unauza.
Shida haina adabu na mabazazi wana msemo wa kufa kufaana, nilishauza gari kwa bei ya kutupwa, ilmradi tu ada watoto waende shule na tununue gari dogo la bei rahisi, maisha ya mwanadamu!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Sijui wewe unajua?
Wewe ndo umekazana kupiga mahesabu, kiasi cha kutaja bei ya pikipiki, kodi ya nyumba ya zamani na mpya wakati hakuna popote nilipotaja gharama wala bei ya chochote! Sasa kwavile umekomalia hilo suala la pesa unayodhani niliingiza na kutumia, ndipo nakuuliza unajaribu ku-prove nini ikiwa mimi sija-specify chochote kati ya hivyo unavyotaja?! Seems lakini hujiamini kwa kile unachojaribu kueleza!
 
Umekaribi na ukweli kabisa, kwa sababu ilikuwa chini kidogo ya hiyo 800K
 
Sawa mkuu BonT kwa maana hiyo siku ikitokea umepatwa na tatizo kama msiba, kesi ya mahakamani au ugonjwa bila shaka utaendelea kukataa msaada wa ndugu kwa maana ukikubali utakuwa unabweteka. Au sio mkuu?
 
[emoji23][emoji23]uyo mtu ama shetani aseee.
 
Sawa mkuu BonT kwa maana hiyo siku ikitokea umepatwa na tatizo kama msiba, kesi ya mahakamani au ugonjwa bila shaka utaendelea kukataa msaada wa ndugu kwa maana ukikubali utakuwa unabweteka. Au sio mkuu?
Sasa suala la msiba au hayo mengine uliyotaja yanahusiana vipi na harakati za kupambana na maisha?! Usisahau hata matajiri linapotokea suala la msiba, ugonjwa, au kesi hayo mambo hayawi ya peke yao bali yanageuka kuwa ya kifamilia na kijamii hata kama aliyekutwa na hayo atakuwa anamiliki bahari!

Msubiri huyo jamaa aondoke hapo kwa Ba' Mkubwa na kuanza ku-hustle kivyake kama utasikia kuna mtu kaokotwa amekufa!! Kinachomkwamisha huyo ni uoga tu wa "nitaanzia wapi" lakini akishatoka huyo, baada ya mwaka atakuja na simulizi mzuri hapa!!! Hivi unafikiri kwanini wenyeji wa eneo lolote huwa hawaendelei kulinganisha na "wa kuja"?
 
Yaani ww had unawaz kununua gari ndogo ..kun wengine hata asbh anawaza anaamkaje
 
Ondoka kwa watu bloangu. Mjini cha bure ni pumzi tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…