Nusratt
JF-Expert Member
- Dec 18, 2024
- 1,712
- 4,259
Ilianza kama utani suala la kujikuna ndani ya uke.
Ila hali ilizidi kuwa mbaya kwani ilikuwa kila nikiingiliwa basi napata maumivu sana na kuacha kufanya tendo.
Nilienda kwa wataalamu wa afya wakanipa dawa hizi
Hizi za buluu nakunywa kila siku kidonge 1 kwa siku 14 na nimemaliza ila hakuna afadhali.
Na hizi nyeupe naingiza huku ukeni kwa siku 7 nazo nimemaliza ila muwasho bado uko palepale.
Yaani najikuna sana.
Naomba mnisaidie kama kuna dawa ya aina nyingine maana sasa hv sishiriki tendo tena kwa maumivu