Msaada: Nimetumia dawa hizi kutibu muwasho ukeni ila bado najikuna sana. Nifanyaje?

Samahani mkuu kama takua navuka mipaka..
Hilo tatizo ni fangus ambao wanaitwa vaginal yeast infection .. usiogope na usizani upo peke yako wapo wengi wanaosumbuliwa na hii issue.

Nimetanguliza samahani maana nataka nikusaidie ila dawa yake kidogo inabidi uwe makini kama mtu sio mtaalam anaweza kukusababishia matatizo..

Dawa ya hii fungus huwa tunatumia cream inaitwa nyastatin au clotrimazole.
Wengi wanachokosea ni kujipaka wenyewe bila kujua hi dawa inabidi ifike mpaka karibu na cevix na si kwa kujiweka vidole kupaka...

Fungus hawa huwa wana release at high late pale unapokua na hamu ambako ile fluid ikiwa ina toka ndio nao hutoka sasa tunawaondoaje..

Oky dawa hii huwa inafanywa na mtaalamu tu wa magonjwa ya wadada an dactar mzoefu..

Dawa inapakwa kwenye kichwa cha chini cha dactar kisha anapitisha hapo kama ambako haruhusiw kuzidi 4 au 5 cm na haruhusiwi kufika mshindo...

Kwanini hatumii kifaa kingine kama doldo au kidole .. hi ni kutokana na fungus inhibition ambao kama ukiweka kitu chochote tofauti na hivo huwana wana anza ku react na hiko.kitu hii itasababisha reaction ya dawa kuwa weak ndio mana kupona inakua tabu...

Naweza sema karibu mkuu
Fursa
 
Suala la kukutana na mwenzako na kupata maumivu ni moja ya dalili ya uwepo wa maambukizi ambayo yanaweza kuwa kwenye:
1: Mlango wa uzazi
2: Njia ya mkojo
3: Viungo vya uzazi

Ili kupata tiba sahihi ni pamoja na:
1: Mahojiano zaidi(bado kuna mambo mengi ya kuongelea).
2: Ukaguzi/examination.
3: Vipimo kwa kadri ya atakayoyapata mtoa huduma.

NB: Aina na kiasi cha tiba hutegemea na tatizo la msingi lililogunduliwa. Hivyo, ni vyema kumhusisha mtoa huduma ya afya hasa daktari bingwa wa magonjwa ya akinamama kama uko sehemu unaweza kumpata.
👿👿👿
 
Ila Dogo, mashangazi wameharibu kabisa Ubongo wako, nini hiki unaandika hapa?
Mxxxxiiiieeew 😂😂😂😂
Coca bana unazani nachekesha hapa..
Nini kinakufanya ucheke..
Kwanini unatabasamu
 
Unyama sana mwanetu.
Una risk fangas kwa utamu wa muda mfupi
Sasa kwanini unacheka mkuu...
Nini kinakufanya utabasamu..

Sio risk ni matibabu mkuu fangus hawawezi kuingia sehemu ambayo sio habitat yao
 
Mnaona..?

wanaume tujifunze si mnaona wenyewe hawaweki picha za punene zao ila sisi tunaaibisha soko la hisa!, hapo angekuwa ni me tayari tungekuwa tumeshaweka picha mnato!..

by the way, nenda na huyo mnaekulana nae vilevile chupi na boxer zenu zichomeni nunueni mpya halafu kwa kipindi cha tiba msikutane!.
Aweke maumbile ya kike humu? Kwa namna maumbile ya mwanamke yalivyo ni ngumu sana mtu mwenye akili timamu kufanya hivyo.

Maumbile ya kiume sio issue sana...
 
Ilianza kama utani suala la kujikuna ndani ya uke.
Ila hali ilizidi kuwa mbaya kwani ilikuwa kila nikiingiliwa basi napata maumivu sana na kuacha kufanya tendo.
Nilienda kwa wataalamu wa afya wakanipa dawa hizi

Hizi za buluu nakunywa kila siku kidonge 1 kwa siku 14 na nimemaliza ila hakuna afadhali.
View attachment 3297234

Na hizi nyeupe naingiza huku ukeni kwa siku 7 nazo nimemaliza ila muwasho bado uko palepale.
View attachment 3297238
Yaani najikuna sana.
Naomba mnisaidie kama kuna dawa ya aina nyingine maana sasa hv sishiriki tendo tena kwa maumivu
Doo pole sanaa
 
Aweke maumbile ya kike humu? Kwa namna maumbile ya mwanamke yalivyo ni ngumu sana mtu mwenye akili timamu kufanya hivyo.

Maumbile ya kiume sio issue sana...
anhaa! kwahiyo sisi ni raha tu tukiweka masoko yetu ya hisa ila wao ngumu!, what is the meaning of fifty fifty..?
 
Hizi za buluu nakunywa kila siku kidonge 1 kwa siku 14 na nimemaliza ila hakuna afadhali.

Na hizi nyeupe naingiza huku ukeni kwa siku 7 nazo nimemaliza ila muwasho bado uko palepale.
Hapa inadhihirisha kuwa life and everything we do daily in our life is just bunch of probabilities nothing is sure.
Hata huko hospital huwa wanacheza na probability Kama vile unajua juaihuyu mke atanifaa acha nimuoe ikiwa kweli utasema kuwa u mjanja utajisifu like ume predict coin flip head to appear baadaye ukajiambia you can know the future while future is uncertainty
 
Samahani mkuu kama takua navuka mipaka..
Hilo tatizo ni fangus ambao wanaitwa vaginal yeast infection .. usiogope na usizani upo peke yako wapo wengi wanaosumbuliwa na hii issue.

Nimetanguliza samahani maana nataka nikusaidie ila dawa yake kidogo inabidi uwe makini kama mtu sio mtaalam anaweza kukusababishia matatizo..

Dawa ya hii fungus huwa tunatumia cream inaitwa nyastatin au clotrimazole.
Wengi wanachokosea ni kujipaka wenyewe bila kujua hi dawa inabidi ifike mpaka karibu na cevix na si kwa kujiweka vidole kupaka...

Fungus hawa huwa wana release at high late pale unapokua na hamu ambako ile fluid ikiwa ina toka ndio nao hutoka sasa tunawaondoaje..

Oky dawa hii huwa inafanywa na mtaalamu tu wa magonjwa ya wadada an dactar mzoefu..

Dawa inapakwa kwenye kichwa cha chini cha dactar kisha anapitisha hapo kama ambako haruhusiw kuzidi 4 au 5 cm na haruhusiwi kufika mshindo...

Kwanini hatumii kifaa kingine kama doldo au kidole .. hi ni kutokana na fungus inhibition ambao kama ukiweka kitu chochote tofauti na hivo huwana wana anza ku react na hiko.kitu hii itasababisha reaction ya dawa kuwa weak ndio mana kupona inakua tabu...

Naweza sema karibu mkuu
Acha uwongo ww pigo za waganga wa kienyeji unazileta kwenye taaluma ya wasomi sio poa 😃
 
Dakitari wa wanawake.
 
Wee ni muongo.
Nipo hapa kutoa elimu na si vinginevyo mkuu kama nakukwaza naomba nisamehe sana aiseee

sikujua kuwa elimu yangu inaweza sababisha ugomvi namna hii samahani sana ahahahhaha
 
Back
Top Bottom