Pole yake sana mleta mada, aweke video kwa faida ya members...
Navuta picha vile atakavyoionesha kwa msaada zaidi...Hii thread ingekua ya mwanaume, angeambatanisha na pmb, humu watu hawana aibu
Pole yake sana mleta mada, aweke video kwa faida ya members...
Fangasi wa ndani sa aweke video akiwa anapelekewa motro au????Pole yake sana mleta mada, aweke video kwa faida ya members...
Kuikunia kwa ndani..Fangasi wa ndani sa aweke video akiwa anapelekewa motro au????
Acha hizo lo
Achana na habari a kuikunia Muelekeze dawa nzuri !Kuikunia kwa ndani..
Kwani Hilo jukwaa liimerudishwa???
Sina muongozo...Kwani Hilo jukwaa liimerudishwa???
AsanteKaribu mkuu
AzizatMbona kuna picha moja imekosekana?...🤔🤔
Au nyie ndugu zangu mumeiona?😳 mzabzab ,Poor Brain , min -me ,...?
Hakuna halufu ya samaki? Rudi Kwa watalamu labda ni pid. Kingine ni ushauri tu, chagua mwenza mmoja usipende kumix mafaili, chagua njia salama za kuzuia mimba kuna zingine ni mbaya, usafi pia ni muhimuIlianza kama utani suala la kujikuna ndani ya uke.
Ila hali ilizidi kuwa mbaya kwani ilikuwa kila nikiingiliwa basi napata maumivu sana na kuacha kufanya tendo.
Nilienda kwa wataalamu wa afya wakanipa dawa hizi
Hizi za buluu nakunywa kila siku kidonge 1 kwa siku 14 na nimemaliza ila hakuna afadhali.
View attachment 3297234
Na hizi nyeupe naingiza huku ukeni kwa siku 7 nazo nimemaliza ila muwasho bado uko palepale.
View attachment 3297238
Yaani najikuna sana.
Naomba mnisaidie kama kuna dawa ya aina nyingine maana sasa hv sishiriki tendo tena kwa maumivu