Na hiyo picha nfio muhimu for identification of problem with mbususuMbona kuna picha moja imekosekana?...π€π€
Au nyie ndugu zangu mumeiona?π³ mzabzab ,Poor Brain , min -me ,...?
Ulizomtajia ndizo kaweka hapo kwenye picha, tofauti ni hiyo miconazole yeye amepatiwa pessary ambayo ina mchanganyiko na antibiotiki.Watalaamu watakuja lakin nenda ukapime vipimo vyote vinavyogusa upper vggina na lower vagina.
JARIBU HIZI DAWA
MICONIZOLE CREAM
FLUCONIZOLE TABS
huyo naye ni daktari kweliUlizomtajia ndizo kaweka hapo kwenye picha, tofauti ni hiyo miconazole yeye amepatiwa pessary ambayo ina mchanganyiko na antibiotiki.
Ilianza kama utani suala la kujikuna ndani ya uke.
Ila hali ilizidi kuwa mbaya kwani ilikuwa kila nikiingiliwa basi napata maumivu sana na kuacha kufanya tendo.
Nilienda kwa wataalamu wa afya wakanipa dawa hizi
Hizi za buluu nakunywa kila siku kidonge 1 kwa siku 14 na nimemaliza ila hakuna afadhali.
View attachment 3297234
Na hizi nyeupe naingiza huku ukeni kwa siku 7 nazo nimemaliza ila muwasho bado uko palepale.
View attachment 3297238
Yaani najikuna sana.
Naomba mnisaidie kama kuna dawa ya aina nyingine maana sasa hv sishiriki tendo tena kwa maumivu

Kwamba picha za chinua achebe mkuu?πMbona kuna picha moja imekosekana?...π€π€
Au nyie ndugu zangu mumeiona?π³ mzabzab ,Poor Brain , min -me ,...?
Asante mkuu kwa kunisaidiaNenda Kwa daktari bingwa wa magonjwa ya wanawake Tena wa private hospital.
Pole.
Naomba sababu mahususi ya kwanini amuone Gyne wa Private Hospital?Nenda Kwa daktari bingwa wa magonjwa ya wanawake Tena wa private hospital.
Pole.
Pole sana nitakutajia dawa hapa za kuzitumiakama utani suala la kujikuna ndani ya uke.