Msaada: Nimetumia dawa hizi kutibu muwasho ukeni ila bado najikuna sana. Nifanyaje?

HIV
 
Udaktari Kazi ya laana, yani ufanye dhambi kama hiyo kisa ugonjwa wa mwingine kila la kheri...
 
Fala wewe....rapist mkubwa kabisa....Daktari gani mbakaji mbwa wewe
 
Pole sana jieleze Kwa ufasaha pengine una gonjwa la zinaa maan kunamengine huchelewa kuonekana ila huleta dalili kama hivyo
 
Fala wewe....rapist mkubwa kabisa....Daktari gani mbakaji mbwa wewe
Dada umemjibu kibabe na ghadhabu kubwa, ila hicho ndo anastahili huyu kijana kuleta mzaha kwenye afya ya mtu
 
heheheheee

πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
 
Watalaamu watakuja lakin nenda ukapime vipimo vyote vinavyogusa upper vggina na lower vagina.
JARIBU HIZI DAWA
MICONIZOLE CREAM
FLUCONIZOLE TABS
Kwani hujaona ametumia flucanizole hapo juu na hajapona?
Daktari vipi wewe
 
Mnaona..?

wanaume tujifunze si mnaona wenyewe hawaweki picha za punene zao ila sisi tunaaibisha soko la hisa!, hapo angekuwa ni me tayari tungekuwa tumeshaweka picha mnato!..

by the way, nenda na huyo mnaekulana nae vilevile chupi na boxer zenu zichomeni nunueni mpya halafu kwa kipindi cha tiba msikutane!.
 
Ila Dogo, mashangazi wameharibu kabisa Ubongo wako, nini hiki unaandika hapa?
Mxxxxiiiieeew πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Unyama sana mwanetu.
Una risk fangas kwa utamu wa muda mfupi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…