Msaada: Nimetumia dawa hizi kutibu muwasho ukeni ila bado najikuna sana. Nifanyaje?

Bila ya huyo anayekugegeda kupimwa na kutibiwa itakuwa unatwanga maji mto Msimbazi...
 
Huo muasho unachubua ngozi ya ndani ya k; ndio maana ukiingiliwa unasikia maumivu. Kama usipotumia dawa, ndani pataanza kuoza na kutoa harufu mbaya.

Tiba; Sikumbuki jina, ila ni vidonge 3 unakunywa kimoja kwa siku na maji mengi; na nyingine ya kuweka huko chini ili kutibu majeraha.

Itakulazimu uache kukutana na mwenzako angalau wiki kadhaa.​
 
Ushauri muhimu:

1. Acha ngono kabisa.
2. Muache Kabisa huyo kama sio mume.
3. Focus kwenye matibabu mpaka upone.

Kama huwezi acha ngono:

1. Tumia Kinga tu.
2. Jitibu mpaka upone.
3. Acha ngono zembe.

Kama ni single Mama;

- Sina ushauri, rudi kwa mumeo!
 
Pole Kwa maradhi.
Nicheki pm nikupe tiba ya asili (mitishamba) hii ni candida ndani ya siku tatu Keisha tatizo.
 
Hii issue inawatesa wanawake wengi Sana na ni ngumu Sana kupona.Kama utaendelea kutokuona nafuu,nijulishe nikuelekeze mimea uandae uchemshe Lita 5 tu hutaona Tena.
 
Hakuna halufu ya samaki? Rudi Kwa watalamu labda ni pid. Kingine ni ushauri tu, chagua mwenza mmoja usipende kumix mafaili, chagua njia salama za kuzuia mimba kuna zingine ni mbaya, usafi pia ni muhimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…