Msaada: Nimewapa ujauzito wanawake wawili, nawapenda ila dini yangu hairuhusu kuwa na wake wawili

Unachekesha sana!! HIYO DINI IMERUHUSU KUZINI NA WANAWAKE? JIBU KWANZA HILI, NDIO TUKUPE MSAADA!!!
 
Wakuu salamu natuamini mnaendelea na mapambano ya kila siku na mapambano ya Tozo. Samahani kwa uandishi wangu mimi sio expert sana wa kujielezea kwa maandishi.

Hongera sana. Oa wote dini zilitukuta babu zetu wana wake wengi
 
Unachekesha sana!! HIYO DINI IMERUHUSU KUZINI NA WANAWAKE? JIBU KWANZA HILI, NDIO TUKUPE MSAADA!!!
Haijaruhusu. Hilo na kubali lakini hapa sio sehem ya kulaumiana maana yashatokea mkuu
 
Mkuu,Dini yako ni ipi hiyo!?
Wasomi wa elimu ya Dini tupo hapa tunaweza kuona nanna ya kukusaidia kwa muongozo wa Dini yako.
Mkuu dini yangu ni msabato na binti R ni mkristo na binti S ni walokole hawa
 
Hivi wewe ndio yule jamaa anayeandika 'basi' za kutosha kwenye uzi?

Wewe sio mtu wa kuoa, ingelikuwa wa kuoa bila shaka ungetulia na mtu mmoja...
Nimeomba radhi kwa uandishi wangu maana sio mzuri.. huo uandishi hauusiani na mm kitabia kabisa
 
Nimejiuliza huyu mtoa mada anajua ukimwi upo kweli? Maana hiyo changanya changanya aisee kiboko
Kwenye swala la kujilinda hapo nafanyaga check up na wote nimepima nao mimi siwez kula kitu bila kujua status yake
 
Asante kwa ushauri mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…