Msaada: Nimewapa ujauzito wanawake wawili, nawapenda ila dini yangu hairuhusu kuwa na wake wawili

Msaada: Nimewapa ujauzito wanawake wawili, nawapenda ila dini yangu hairuhusu kuwa na wake wawili

Wakuu salamu natuamini mnaendelea na mapambano ya kila siku na mapambano ya Tozo. Samahani kwa uandishi wangu mimi sio expert sana wa kujielezea kwa maandishi.
Mwaka 2019..
upo mkoani.. Bas mazoea na yule binti S yakawa kama yamerudi na kimasiraha, nikawa nimeshaweka na kipindi hicho amesema hakuwa na mtu, kiasi fulan hakuwa mtu wa mambo mengi na mimi ndo nilimzinguaga kipind kile..

Sasa juzi hapa kaja kwangu na kuniambia kuwa ana ujauzito wangu.. yaan kama nina watoto wawili wapo njiani.. na kwao pia nimeambiwa natakiwa niende nikajitambulishe..

Kiukwel wote nawapenda ila dini yangu hairuhusu kuwa na wake wawili.. Na hata kama zinaruhusu ila wao hawapatani.​
Unachekesha sana!! HIYO DINI IMERUHUSU KUZINI NA WANAWAKE? JIBU KWANZA HILI, NDIO TUKUPE MSAADA!!!
 
Wakuu salamu natuamini mnaendelea na mapambano ya kila siku na mapambano ya Tozo. Samahani kwa uandishi wangu mimi sio expert sana wa kujielezea kwa maandishi.

Hongera sana. Oa wote dini zilitukuta babu zetu wana wake wengi
 
Unachekesha sana!! HIYO DINI IMERUHUSU KUZINI NA WANAWAKE? JIBU KWANZA HILI, NDIO TUKUPE MSAADA!!!
Haijaruhusu. Hilo na kubali lakini hapa sio sehem ya kulaumiana maana yashatokea mkuu
 
Mkuu,Dini yako ni ipi hiyo!?
Wasomi wa elimu ya Dini tupo hapa tunaweza kuona nanna ya kukusaidia kwa muongozo wa Dini yako.
Mkuu dini yangu ni msabato na binti R ni mkristo na binti S ni walokole hawa
 
Hivi wewe ndio yule jamaa anayeandika 'basi' za kutosha kwenye uzi?

Wewe sio mtu wa kuoa, ingelikuwa wa kuoa bila shaka ungetulia na mtu mmoja...
Nimeomba radhi kwa uandishi wangu maana sio mzuri.. huo uandishi hauusiani na mm kitabia kabisa
 
Nimejiuliza huyu mtoa mada anajua ukimwi upo kweli? Maana hiyo changanya changanya aisee kiboko
Kwenye swala la kujilinda hapo nafanyaga check up na wote nimepima nao mimi siwez kula kitu bila kujua status yake
 
Oa huyo S mkuu. Kuna sehemu nilisoma ukiwa na mchumba afu ukapata mwanamke mwingine ukawa confused uoe yupi muoe wa pili maana kama ungempenda wa kwanza ungeshatosheka naye usingetumbua macho kwa mwingine.

Tena zaidi kumwagia ndani. Mnapokojoa mnafikiriaga ni dagaa eti?? Mwanaume unapokojoa jua uko tayari kuzaa na uliemkojolea na mtoto akija uko tayari kumlea. Na unampenda huyo mwanamke mpaka umeamua kuzaa nae. Mkuu oa S achana na R utamuumiza mbeleni. R nakusikitikia sana
Asante kwa ushauri mkuu
 
Back
Top Bottom