Msaada: Nina 30,000 hapa, nahitaji kuanza biashara yoyote ile sasa hivi. Niko DSM

Umejaribu hii business
 
Mtaji hautoshi kaka angu. Vifaa vyenyewe huna 40k hupati, eneo la kukaangia je?

We ni zaidi ya Motivational Speaker
Kodi jiko kwa mtu kwanza baadae utanunua lako ila hakikasha vifaa ukosi kuanzia karai la kukaangia, deli la kuwekea vitumbua n.k
 

Attachments

  • Screenshot_20231121-065046.png
    32.6 KB · Views: 8
  • Screenshot_20231121-065020.png
    31.5 KB · Views: 8
Kukodi toroli kipengere
 
Usimfundishe ujinga utaka mwezio aozee segerea sio??
 
Sa si unaona kama jana sijalala nlimpa argentina alafu nikakandamiza sasa mpira hauchezwi wanapigana buti tu virugu mwanzo mwisho ni ngumi kwenda mbele yan daaah sijalala hata hapa nipo kibaruan nakimbia muda si mrefu niende nkalale nimechoka kinoma
Niliwapa under 3.5 pamoja na tz
 
Kodi mkokoteni zunguka kwenye malango ya watu unafanya huduma ya kukusanya taka gharama kulingana na wingi wa taka. Bei itaanzia Tsh 500.
Hakikisha unajua pakwenda kuzitupa.
Mji town taka utazitupa wapi ndugu[emoji23][emoji23][emoji23] utakuja kugombana na wenye viwanja vyao
 
Safi sana
 
Then kuna Uzi wa chimbo za Kariakoo humu, ifatilie uone bidhaa gani unataka uanze nayo, mtaji wa 30K inatosha pa kuanzia. Nunua bidhaa moja tu, tafuta pics Google chomeka kwenye Instagram account. Fanya online Instagram. Lipia ads $2 kwa siku.

Wish you a good luck.
 
Fanyia nauli tu iyo kawe winga kariakoo au trngeneza mifuko ya karatasi ile kauze kwa wapik chipusi
Wewe uwinga sio rahisi mzee, asilimia kubwa ya mawinga kariakoo ni wahuni na wezi.. kwanza atakaa sana kijiweni mpaka wenye maduka wamzoe na wamuamini..

Wapiga uwinga wengi kariakoo ni wale vjana walijloairiwa na wenye maduka hivo lazima uwe na connection vinginevyo utaonekana muuni na mwizi
 
Hela yako ni kubwa Kwa boashara ndogo ndogo.lakini hizi biashara hazitaki mtu anaekaa mahali pamoja au pasipo na mzunguko.zinataka mtembezi.mfano karanga unaweza pata 8000 lakini italeta maana ukizimaliza ndani ya siku moja.nenda masoko makuu,minadaI,stand,vyuoni.unashangaa pisi 100-200 zimeisha.unatoa faida yako pembeni unandaa mzigo wa kesho Tena.
Hata maandazi,halfcake,,visheti nk

Nguvu zako ndo mtaji wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…