Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
UtailambaEeeh hata nikimfata nitafanya nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UtailambaEeeh hata nikimfata nitafanya nini?
pelvic floor exerciseMazoezi ya Kegel yakoje?
we mwasibu kwenye ule uzi wako mbona hutujibu?dronedrake hujambo dogo
Embu jitahidi kutumia jukwaa hili kwa heshima na siyo kuleta utoto wako.Wewe utakua Lucas Mwashambwa unatumia id nyingine.
Mtiririko na Jinsi unavyojieleza Ni sawa na mdogo wangu wa Songwe mfuasi wa CCM asiye na kadi.
Acheni kunitaja taja kwa mambo ya kijinga jinga na kitoto. Nashangaa kwanini Moderator hawajakuchukulia hatua.
Unataka nijibu nini mkuu?we mwasibu kwenye ule uzi wako mbona hutujibu?
kuna MSELA aliuliza kwamba simba kucheza kombe la looser (mnavyoliita) KIHASIBU ipoje?Unataka nijibu nini mkuu?
kuna MSELA aliuliza kwamba simba kucheza kombe la looser
Akikujibu ni tag mwanakuna MSELA aliuliza kwamba simba kucheza kombe la looser (mnavyoliita) KIHASIBU ipoje?
Wengi wanakosa ubora kutokana na matokeo ya msongo wa mawazo uliowakuta yani huu mwezi wa sita unakuwa na msongo wa nawazo balaa ila show unapiga vizuri tu ila baada ya miezi sita mbele unashangaa performance inashuka unaanza kuwaza sababu nini🤣🤣🤣 umenikumbusha kuna mwanangu aliwahi niambia akiwa na madeni mengi bao halitoki
Dogo pole, Ukiangalia Picha za porno uume hausimami kabisa?Mimi ni kijana miaka 26 nina tatzo la nguvu za kiume linanitesa sana mpaka nakosa raha, uume hausimami kabisa si asubuhi wala jioni yaani nashinda kuta nzima umelala hii kitu naogopa hata kuwa na demu maana nitamfanya nini zaidi ya kuaibika.
Nilikuwa mpiga nyeto ila now nimeacha msaada wenu tafadhali.
Hapo kabla sikuwahi kufanya mapenzi so sina uzoefu na wanawake kabisa.
👆Kula tende na maziwa kila siku piga mazoezi ya kegel wiki moja uone.
Mimi ni kijana miaka 26 nina tatzo la nguvu za kiume linanitesa sana mpaka nakosa raha, uume hausimami kabisa si asubuhi wala jioni yaani nashinda kuta nzima umelala hii kitu naogopa hata kuwa na demu maana nitamfanya nini zaidi ya kuaibika.
Nilikuwa mpiga nyeto ila now nimeacha msaada wenu tafadhali.
Hapo kabla sikuwahi kufanya mapenzi so sina uzoefu na wanawake kabisa.
Yani nyeto inasingiziwa sana siku hizi.Hivi aliye waambia nyeto inapunguza nguvu za kiume ni nani? Swala la nguvu za kiume mbali na tatizo la asili ni swala la kisaikolojia ,mazoezi na lishe tuu. Ukimudu ku control hivyo vitu vitatu kama huna tatizo kwa asili yako basi huto kuwa na tatizo