Msaada, ninahitaji sana kuonana na hawa members. Wananifikirisha sana na kunipa mtanzuko wa moyo

Mimi nina Id moja tu na nina jamaa humu wengi tumekuwa friends. Ila nimejaribu kufungua id nyingine inanikatalia
Labda ulimtuma huyo jamaa yako aje kukutetea maana niliona mtu akilalamika kuwa umebaniwa kimakosa πŸ˜€.
 
Dogo angalia mi sicheki na wowote... Sipendi mazoea na nyie wabongo maana mshanitapeli sana napowatumia pesa huko kwenu. Mi mstaarabu sana siku hizi zaman ngekuwa nshampasua pasua huyu mtoa mada kama ni demu nshamgegeda tayari.
Upo nchi gani kiongozi?
 
Labda ulimtuma huyo jamaa yako aje kukutetea maana niliona mtu akilalamika kuwa umebaniwa kimakosa πŸ˜€.

Humu ndani nina marafiki 4 ambao hatujawahi onana ila imetokea tunagombana na baadaye we become friends. Siamini sana katika uadui. Wengine walikuja jifunza mimi ni mtu wa namna gani kadri walivyoendelea kuchat nami. So mwingine anaweza sema NIMEONA UMEPIGWA BAN SHIDA NINI? Au kwenye magroup pia watauliza mbona umekuwa removed why? Ipo hivyo. Mfano sikuwa nakumbuka kama tumewahi gombana mimi na wewe. But leo tunajibishana kistaarabu kabisa namna hii.
 
Amani itawale mkuu.
Wana JF ni familia Moja.
 

Umeona nmetulia zangu nakula bata kipapiro kinakupwita siyo eeeeh.... Ntakuchapa nao mpaka maji uite mma kigwasu wewe. Mambo ya kujipitisha pitisha mbele ya wanaume wanakuchapa nao na hupewi hata shilling. Kaa kwa kutulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…