Msaada tafadhali, napitia wakati mgumu sana

Bro Vipi Mbona unalia?

Kwani una umri gani?
 
amekuchezea akakuacha, pole sana mkuu
 
Kwanza Pole lakini pia kuna makosa mengi ya kiufundi umefanya ..... kwanza haikuwa uamuzi sahihi kufanya mazoea ya kwenda kulala kwa huyo demu ... swala la wewe kimsaidia isiwe ndo breakthrough ya wewe kujiaminisha kwake kwamba umesha mpata

Huo mda ni mdogo sana kujiweka wazi sana kwake kiasi kwamba amesha kusoma amesha jua mapungufu yako ndomana ulimkuta usiku qnqkusengenya na huyo X wake ..... nikushauri kwa sasa punguza hasira maana hayo mamuzi unayotqkq kufanya yatakukost badaye


Move on achana naye songa mbele siku zote pesa inatafutwa as long upo huru ukiwa nyumba ya nondo hutawez fanya kitu baadhi ya wanawake wapo ivo eb fikiria tu mtu anaye weka kufanya biashara ya magendo tena mwanamke sembuse kukusaliti wewe

Tena inawezekana kuna mambo mengi sana huyajui ambayo walisha fanya na huyo bwana wake na mimi sikushauri uendelee kuya chimba utazidi kuumia jipange upya bro achana kqbisa na mamuzi ya hasira mwisho wake huwa ni mbaya
 
Unaenda kulala kwa Mwanamke???

Enyi Vijana,, Wahuni tuseme mara ngapi kuwa ni tabia ya hovyo sana mwanaume kwenda kulala kwa Mwanamke.?
Afu mm sio kijana huwezi amini nimebakiza miaka 3 kugonga 50 nshapitia challenge nyingi za kimahusinao lakini hakuna iliyoniumiza Kama hii!! Nakushangaa sana
 
Afu mm sio kijana huwezi amini nimebakiza miaka 3 kugonga 50 nshapitia challenge nyingi za kimahusinao lakini hakuna iliyoniumiza Kama hii!! Nakushangaa sana
Hata mimi nakushangaa sana mkuu

Kwa umri huo unaumizwaje hivi?
 
basi walipanga kukuchuna
hahahhahahahah
 
Ulichozingua ni kwenda kwake kama kwako vile yaani ni as if wewe ni manzi unamfata mchizi wako. Ila sio kesi ndo ishatokea huu nnaokupa ni ushauri wa kimafia na uwe na roho ya paka.

Fanya hivi, we kwa sasa kausha usimfatilie hata kidogo(japo ni ngumu). Yani kama sasa hivi ndo umemtafuta basi ndo iwe mwishoo kabisa ila tu uwe hujamtukana na kumlaumu saana, kama bado mnatunana basi we cool down jifanye boya ili myamalize kwa amani kabisa bila marumbano.

Nachomaanisha muwe na kaurafiki flani hivi halafu mkaushie usimtafute wala nn, yeye atajifanya nunda hatokuchek na ww usijaribu kumcheki kabisa.

Ukiona maumivu yameisha kabisa na umepata manzi mwingine na yule huna shida nae kabisa ndo uanze kumchombeza sasa, chombeza uwezavyo kama ww ni mjanja hawezi chomoa, unamjaza unamjaza unamjaza afu utamtema ww sasa itakua 50/50 hapo.

Hii ni kwa wale wapenda visasi ila kama unaona unaweza kuish tu/ huamini katika visasi lia kivyako yaishe tu na upotezee kabisa.
 
Kwani una matatizo gani Hadi ushindwe ku move on, you seem to be a Gigolo man!
 
Me Watu8 ninamheshimu sana...najua ananitakia mema ila nimuaminishe tu wewe ni binamu yangu wa kweliii
So usiwe ba tabu ww nichum tuuu
kolola ndo labda sijajua vizuri
Usiwe na shida maana ulisema K ni yako na unaikosha na kuipaka mafuta wewe! Ila kumbuka mahondaw alipoanzana na Smart911 naye nilitoa angalizo lakini wakanitukana ingawa hawakuwa wanoko kama Nakadori alivyo ninyea! Ona sasa maskini jamaa hata comments zake ni ….. watakuja kukupa ushauri…. Wakati kabla hajaanzana na mahondaw alikuwa akitema Madini
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]so me mnoko kweliii?
Huyo binam tu jaman me wangu yupo
 
Ushauri kuntu tatizo Sasa hivi ananiogopa maana nlimtia kerubu mbili tatu usiku ule na nkampigia mkwara wa kufa mtu, taarifa nilizonazo ameripoti polisi si kwa nia ya kunikamata au kunishtaki hapana anataka niogope sababu Ana RB yangu!! Yaani haya mambo Ni shida kwangu Ila ushauri wako hata mm ndio hua zangu kwa muda huu acha nikifanye fala kwanza ili nimesahau na kumtoa moyoni
 
Shukuru umejua ni bomu hilo!,ipo hivi hata huyo x wake hatakuwa na moyo na huyo mwanamke maana wakipata shida tena atatafuta mwanaume mwengine!.. hakunaga mapenzi ya hivyo we tulia tu watakiumanisha Tena!.
 
Hio number 4 ndio mhimu
 
Shukuru umejua ni bomu hilo!,ipo hivi hata huyo x wake hatakuwa na moyo na huyo mwanamke maana wakipata shida tena atatafuta mwanaume mwengine!.. hakunaga mapenzi ya hivyo we tulia tu watakiumanisha Tena!.
Poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…