Msaada tafadhari: Tiktok inamfundisha shemeji yangu ushoga

Kuhusu kulipwa sijajua, tueleze zaidi kuhusu hiyo influence ya devil
Kuna ile issue ya kiroho inaitwa spiritual exchange.
Mungu hutumia hii law na shetani kaiga pia.
Yaani Mungu hakupi chochote mpaka pafanyike manadilishano.
Aidha umpe praise au umpe sadaka ndipo atakupa kitu.
Shetani yuko the same, atakupa fame, hiyo fame ndiyo itakupa pesa na connection na watu maarufu. Ila lazima mfanye exchange.
Hii exchange ni sadaka na sadaka anayoitaka ni wewe mwenyewe ujitoe sadaka. Hapo aidha atakufanya msagaji, shoga, au kuwa na maisha mafupi.
 
Unamaanisha hizo mbinu za kishoga shoga kugain followers kapewa na devil?
 
Mkuu kata utepe mwenyewe huyo. Vinginevyo masela watakuwahi
 
Chukua sim yake
Kwenye Tiktok settings
I disable au force to stop

Na ikiwezekana ireport account yake
Alf ikiwezekana disable data kwenye Tiktok yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…