Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Mkuu Hawa hawajafukuzwa Hawa muda wa ajira umeisha.Mwajiri hajataka kuwaajiri tena.Sasa hapo utadai nini?Kama chanzo ni nyie kufuatilia sheria mkafukuzwa, basi fuatilien tena sheria hukohuko kwa mwanzo mtarudishwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani Mwajiri kawatema kisomi.Sidhani kama kuna sehemu pa kumshtaki Mwajiri.Maana jamaa hana mkataba wowote na mwajiriHajapunguza wala hajafukuza, ni mkataba umeisha! Pole Sana aiseeeee
Sent using Jamii Forums mobile app
Bongo rahaAngevunja Mkataba unaweza kwenda CMA ila kama mkataba unasema alitakiwa akujulishe kwamba hatoendelea na mkataba kabla haujaisha na hakufanya hivyo tafuta Mwanasheria
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha porojo mkuu. Mleta mada anataka kusaidiwa kuhusu sheria siyo mkatabaUnajua maana ya mkataba.....??
unless utwambie hujui maana ya mkataba hapo tutakuelewa....
Swali: unauhakika gani ulikuwa mtendaji bora ili uongezewe mkataba. ?Heri ya mwaka mpya wadau,!! Mimi na mwenzangu Tumepoteza kazi baada ya kudai haki na stahiki zetu zilizokuwa zinabinywa na mwajiri, baada ya kufatilia sheria zinasemaje katika misingi ya kisheria na mwajiri wetu kuamriwa kurekebisha.
Mwajiri hakufanya hivyo Bali akasubiri mwisho wa mkataba akatupa barua za kumalizika kwa mkataba.
Je, wajuzi wa sheria ni namna gani sheria zinatulinda kwa namna yoyote kupoteza kwetu kazi kwa kudai haki zetu? Naombeni msaada
Tulia wewee mkaldayoUnajitia mjuaji kwenye kampuni ya mtu.. Sasa nenda ukaajiriwe na hiyo sheria iliyokutia ujuaji..!! Ujifunze, next time uwe na adabu..
Mmezidi porojo. Mleta mada anaomba msaada wa ushauri kuhusu sheria mnakomalia mkataba. Nyinyi wala vumbi bana!Unajua maana ya mkataba?
Katika utendaji Bora nilikuwa namba moja kwa kuongoza miezi mitano mfululuzo kwa performance kulinganisha na wenzangu tuliokuwa nao idara mojaSwali: unauhakika gani ulikuwa mtendaji bora ili uongezewe mkataba. ?
Na ni maamuzi yake juu ya kuwaongezea mkataba au la. Tuache mawazo mgando tupambane.
Na wewe ukajipa moyo kuwa bereshi halitapita?Mkuu, pamoja na yote mwajiri alipewa barua ya kutopunguza au kufukuza wafanyakazi kutokana kitendo Cha wafanyakazi kudai haki zetu
Kumbe nyie Lumumba mnajidai serikali ya awamu ya tano mpaka kwenye ofisi za watu?Kwahiyo hata zile order za serikali hazina nguvu yoyote??
Habari ya maadui 3 sio msingi wa Hoja ya mtoa mada......usiikuze hii hoja ya Ujinga, Ipo simple tu....Tafsiri yako ya Ujinga sio ya kweli;Tulivyoambiwa tuna maadui watatu na wanasiasa umaskini,maradhi na ujinga!Kwa hiyo wewe ukaelewa ujinga ni kujifanya unajua kitu wrongly?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu si amesema ya kwamba mkataba umeisha?hajaachishwa oversuddenly, ingekuwa hivyo angeandikiwa barua ya kumuonyesha kwamba unapunguzwa kwa sababu na kupewa stahiki yakeSwala Sio kampun ya Wat sheria za utumish zinagusa kote kote Huwez mwachisha mt kaz all over suddenly lazma umwandalie stahik zake pia umpe taarifa mapema ili ajiandae wewe wapeleke ulipowapeleka mwazo state vizur
Sent using Jamii Forums mobile app
Unapoteza muda mkuu kama mkataba umeisha utaonekana msumbufu tuu, hukujua ya kuwa mkataba unaisha?Ok mkuu Kesho nitafanya hivyo
Kwani kamfukuza mtu hapo, mkataba mlioingia umefika mwisho na sidhan kama kunasheria yoyote hapa Tz inayolazimisha kuingia mkataba mwingine na mfanyakaz aliyemaliza mkataba. Kuweni wapole tu mzee jaribuni kwenda kutafuta kazi sehemu zingine wanakotoa hakiMkuu, pamoja na yote mwajiri alipewa barua ya kutopunguza au kufukuza wafanyakazi kutokana kitendo Cha wafanyakazi kudai haki zetu
Sasa mkataba umeisha utamshtaki kwa kosa ganiHeri ya mwaka mpya wadau,!! Mimi na mwenzangu Tumepoteza kazi baada ya kudai haki na stahiki zetu zilizokuwa zinabinywa na mwajiri, baada ya kufatilia sheria zinasemaje katika misingi ya kisheria na mwajiri wetu kuamriwa kurekebisha.
Mwajiri hakufanya hivyo Bali akasubiri mwisho wa mkataba akatupa barua za kumalizika kwa mkataba.
Je, wajuzi wa sheria ni namna gani sheria zinatulinda kwa namna yoyote kupoteza kwetu kazi kwa kudai haki zetu? Naombeni msaada
Mtu kampuni ni yake then unamletea kujua, hayo ndo matunda ya ulichopanda mkuu. Secta binafsi ni nzuri ila madhara yake ndo hayo. Yafta ajira kwingine mkuuNa kwenye kupunguza watu si lazima Kuna taratibu kisheria uwa zinatumika?? Kwanini sisi na siyo wengine??
Hazina nguvu tena Sababu mwajiri hajawafukuza kazi bali mkataba wa kufanya naye kazi umeisha.!Kwahiyo hata zile order za serikali hazina nguvu yoyote??