RomboMoshi
Senior Member
- May 17, 2021
- 188
- 228
- Thread starter
-
- #101
Dhambi gani ambayo haiepukiki..!??kaka usihalalishe dhambi kwasababu ya tamaa zako,.wewe ni mkristo hebu nikuulize ghafla umefia juu ya kifua cha mchepuko wako huyo anakuja Mungu mwenyewe anakuuliza ilikuwaje,utamjibu kuna dhambi haziepukiki???
Wanawake tunazidiana vitu vingi, ila heshimu commitment yako. Hata ungeoa huo mchepuko, inawezekana ungepata mchepuko ambao ungemzidi maarifa na tabia njema. Tulia na mkeo na muheshimu kwa kuacha kumfananisha na michepuko. Hata ukutane na malaika, jiambie mke wangu amewazidi wote. Ridhika na cha kwako, ndiyo fungu lako; au unafikiri mkeo hakutani na wanaume waliokuzidi wewe mambo mengi?
Pepo mchafu kamuingia anamtumia vile atakavyo... maombi muhimu hapa,
Eeh ndiyo sio wako sasa. Wako ndiyo huyo huyo uliyemchagua, kwani hukujua kama sio business planner na great adviser; kipo kilichokufanya umchague yeye na sio mwingine. Hichohicho kikupe sababu ya kukaa naye kwa kutulia
Huyo ni chaguo lakoooooooooJibu ni kukubali ukweli kua sio wangu ila I can not give the crown to my wife which she doesn't deserve...nampenda na kumuheshimu km mke wangu ila kwny ukweli niseme ukweli tabia zake si nzuri.
Yaani nimewaza huyu ndio mume wangu sasa, jamaniiiii
Sema ndugu yangu ulibugi ilitakiwa awe wako hizi kanuni hazionyeshi mke mmoja, muda huu ungekuwa unajivinjari tuJibu ni kukubali ukweli kua sio wangu ila I can not give the crown to my wife which she doesn't deserve...nampenda na kumuheshimu km mke wangu ila kwny ukweli niseme ukweli tabia zake si nzuri.
Yaaani mpaka nimetetemeka, sijui nitampeleka yordani akadumbukizwe kulee ili atakasikee,.. khaaa!!
6yrs ni mingi sana bro kila kitu kinamwisho wake kubali kama huo ni mwisho naye, anabusara sana hajawah kukualibia kwa mke wako na wew usitake kumwalibia kwa mume wake, Cha kufanya kuwa kama we ndo umemwacha mblock kila sehemu. Hapo utakuwa umemaliza kazi, but kuendele kuwasiliana ipo siku iyo utasahau kama ameolewa na kumvunjia heshima kama MKE wa mtu ukasababisha mgongano kwenye ndoa yake
Huyo ni chaguo lakooooooooo
Sema ndugu yangu ulibugi ilitakiwa awe wako hizi kanuni hazionyeshi mke mmoja, muda huu ungekuwa unajivinjari tu
Lust si juu ya mtu mwingie ni juu yako mwenyeweLust can never lust forever kwa mwanamke poyoyo mark that my sister.
Ana tabia njema anachepuka kwa mchumba wake?Soma kwa makini sista si upande wa ngono peke yake! Ht mwanzo nikiwa nae nilishawah kuchepuka mwanzoni ila nilikuja gundua ana akili na tabia njema sna ndizo zilifanya nikajenga kibanda kwake wala sinhiyo ngono tu.
lust si juu ya mtu mwingie ni juu yako mwenyewe
a person be poyoyo or intelligent has nothing to do with lust
Mkuu ninakuelewa. Ukweli ni kuwa Sifa ya Mke mzuri ni yule ambaye ana-act kama mama kama huyo Mkuu.Mkuu blessed acha tu! Upate mwanamke wa pembeni unampa matatizo yako yote anakushauri km mama yako mzazi! Mwanamke anakuamini anakuchukulia mkopo ufungue biashara na hujamuoa na anajua una mke..kwa nn asingenichuna akachapa lapa na aliona nishampenda?? Mke wangu wa nyumbani hata mshahara wake sijui unafanyiaga nini jamani nyie acheni tu.
ana tabia njema anachepuka kwa mchumba wake?
ndo maana wanaume huwa mnaingia kwenye mitego na kutelekeza familia ukija kushtuka kumekuchwa
Sawa.lust can last forever kikubwa msioane tu
Sawa.
Mkuu umekuja kuomba ushauri wadada hapo wanakushauri vizuri hutaki unataka wakuunge mkono daah hatari sanaYawezekana anakutana nao tena wengi mno na sijamfananisha na this woman! She is unique on her own and this young lady is unique on her way too! The behaviour of this young lady is mesmerising no wonder kapata mume wa kumuoa mapema sana...japo naumia ila am happy for her at the same time kapata mume wa maana na mstaarabu pia.