RomboMoshi
Senior Member
- May 17, 2021
- 188
- 228
- Thread starter
-
- #121
Mkuu ninakuelewa. Ukweli ni kiwa Sifa ya Mke mzuri ni yule ambaye ana-act kama mama kama huyo Mkuu.
Thats the peponi. Ulikuwa peponi it was a paradise.Kabisaa! Dada zangu hp wanamind sabab wanajiweka position ya wife ila hawajui jinsi mwanamke mwenzao alivyonivusha magumu.
mkuu umekuja kuomba ushauri wadada hapo wanakushauri vizuri hutaki unataka wakuunge mkono daah hatari sana
Thats the peponi. Ulikuwa peponi it was a paradise.
Ninavyoelewa mimi God fearing ni kutekeleza aliyoamrisha Mungu na kuacha aliyoyakataza. Ingawaje kuna ubinadamu ktk kwa madahifu unaingia kwenye dhambi na upesi unakumbuka kutubia na kuacha kabisa kwa kumhofia Mungu kua anakuona unayofanya. Sasa uzinzi wa 6yrs yet ts god fearing? Hapana kwa kwel. She is not a fearing God.I think is the way people behave towards others in God's way.
Unapotezwa hapa[emoji28][emoji28] mzee ushauri wk km unaniingia hivi!
Hayo maswali ya mahakamani baki nayoHapo kwenye God fearing sasa na huku mlikuwa mnazini hiyo God fearing inatoka wapi
Nawaelewa sana madada zangu hawa na nimependa shauri zao ila wao wanachojaribu ni kufanya km yule mwanamke mwenzao ambae alikua ni mchepuko hakua na wema wwt which is not true.
Mkuu hivi bado unamuita mchepuko na bado unataka Kumuacha nakushauri usithubutu Kumuacha atakusaidia na usiache kuwasiliana alikustiri kipindi Upo sudani hivyo usimtupe mwambie kuwa umemiss acha kusikiliza ushauri wa humu ndani asingekuwa yeye kukutuliza usingekuwa hivi ulivyo as of now Jina furaha ya Ndoa yako Kama mke Hata kusupport watoto hajishiki what do you want most..Yaan huu mchepuko nilikua kuna mida nayumba kiuchumi mpk napagawa ila ananikopea mpk mkopo nafumgua biashara nakuja kumrudishia kidogo kidogo...mtoto anaumwa siko vizuri hela y wife sijui hata imeenda wapi maana hata sigatiliagi anaifanyiaga nn maana yy kila siku hanaga hela katoto ka watu kananitecharge unamrudishia anakwambia hapana hiyo nilikupa sababu ya mtoto wako niliona haukua sawa halafu unataka kunishawishibhakua mtu mwema?? Acha kabisa sista mwanaume mpk nahaha hivi sio bure!
Pambana mangi, nothng is permanentMkuu hongera kwa kujinasuabl itanibidi nifanye hvy mangii
Yani we mwanaume wa ovyo kabisa, Mungu amfanyie wepes huyo mkeo maana hapa amekula hasara,Yaan huu mchepuko nilikua kuna mida nayumba kiuchumi mpk napagawa ila ananikopea mpk mkopo nafumgua biashara nakuja kumrudishia kidogo kidogo...mtoto anaumwa siko vizuri hela y wife sijui hata imeenda wapi maana hata sigatiliagi anaifanyiaga nn maana yy kila siku hanaga hela katoto ka watu kananitecharge unamrudishia anakwambia hapana hiyo nilikupa sababu ya mtoto wako niliona haukua sawa halafu unataka kunishawishibhakua mtu mwema?? Acha kabisa sista mwanaume mpk nahaha hivi sio bure!
Ninavyoelewa mimi God fearing ni kutekeleza aliyoamrisha Mungu na kuacha aliyoyakataza. Ingawaje kuna ubinadamu ktk kwa madahifu unaingia kwenye dhambi na upesi unakumbuka kutubia na kuacha kabisa kwa kumhofia Mungu kua anakuona unayofanya. Sasa uzinzi wa 6yrs yet ts god fearing? Hapana kwa kwel. She is not a fearing God.
Hayo maswali ya mahakamani baki nayo
Hapana mbona tumekuelewa tu: ila tunachojaribu kukwambia ni kwamba pamoja na mema yake yote hakuwa wa kwako. Na kama unaona kwa mkeo ulikosea kuchagua sijui ana tabia mbaya, ungempa talaka ukamuoa mchepuko. Ila hadi inafikia hutamani kuachana na mkeo, basi mazuri yake hata kama ni machache yana nguvu kubwa. Tulia na mkeo ndugu yangu
Mkuu hivi bado unamuita mchepuko na bado unataka Kumuacha nakushauri usithubutu Kumuacha atakusaidia na usiache kuwasiliana alikustiri kipindi Upo sudani hivyo usimtupe mwambie kuwa umemiss acha kusikiliza ushauri wa humu ndani asingekuwa yeye kukutuliza usingekuwa hivi ulivyo as of now Jina furaha ya Ndoa yako Kama mke Hata kusupport watoto hajishiki what do you want most..
Mkuu omba Ile Sheria ya SA ifike Kwetu Hawa Wanawake watatuoa wengi tu
Basi nashukuru kwa kukuelewa. Huyohuyo na tabia zake mbaya, ndiyo mke wako wa agano, huwezi kumbadilisha; ila muombe Mungu akamfanye kuwa mke mwema. Usimkatie tamaa, na badili mtazamo na maneno unayoyatamka juu yake. Hakuna gumu kwa MunguSistaa mi nimekuelewa kabisa...unachojaribu kunielewesha ni kua niheshim commitmend yangu no matter what na nimekuelewa.
una
Pambana mangi,nothng is permanent
Yani we mwanaume wa ovyo kabisa, Mungu amfanyie wepes huyo mkeo maana hapa amekula hasara,
Kaa na mkeo chini mwambie yale yote unayotamani mboreshe na mahusiano yenu achana na huo mchepuko wako, tena jua kabisa unafanya dhambi kubwa na shetani kakukalia unajikuta unasifia upuuzi wa huo mchepuko. Nachukia sana wanaume aina yako, ovyo kabisa.nachukia pia wanawake wanaoingilia ndoa za watu.
Mkeo huko utakuta hakuelewi kumbe ulimbuken wako ndo unaokusmbua.
Useless
Basi nashukuru kwa kukuelewa. Huyohuyo na tabia zake mbaya, ndiyo mke wako wa agano, huwezi kumbadilisha; ila muombe Mungu akamfanye kuwa mke mwema. Usimkatie tamaa, na badili mtazamo na maneno unayoyatamka juu yake. Hakuna gumu kwa Mungu