Msaada: Uliwezaje kumuacha mchepuko ilhali bado unampenda?

Msaada: Uliwezaje kumuacha mchepuko ilhali bado unampenda?

Kwanza ningependa nikwambie kitu sista mimi ni mwanaume mwenye asili ya upendo na upole sikutaka kuandika mengi juu ya shida za wife ila ungejua ht usingeteseka kuandika hii essay
Pole kama ni mawig na makucha type pole tena. Ila bado si ungani na wewe kwenye uzinifu. Set her free then endelea na miasha lkn uzinzi.kwangu big no
 
Umeolewa au upo kwenye Mahusiano yanayotambulika? Mchaga wetu asiwe anakadiliana na Hawa wasoma tamthilia wakidhani ndiyo Maisha halisi ya Ndoa....

Fafanua marital status yako Kwanza ili tujue ukomavu wako wa hoja yako.
Married na nna watoto. Nna zaidi ya 10 yrs in marriage naelewa vzr kuhus ndoa vizuri.kabisa.
Na mwisho nimemwambia kwa kua mke wake ni mawig and kucha type amset free lkn uzinfu kwangu hapana
 
Huyu baby Zu akiendelea kuongea Mambo ya dawati la jinsia sijui usitawi wa jamii Basi tunamuonea huruma muhenga ambaye Yuko naye....

Baby zu anaonekana bonge la pasua kichwa...

Kingine Mangi kusema ukweli ulikuwa na kichwa ngumu kumuoa Huyo mhaya aisee Tena wa hivyo sijui atakuwa mnyambo wa kagera ona Sasa anavyokutesa halafu yeye Hata hajali

Bora utafute Pisi nyingine Kali unajua wanatusaidiana Sana acha tu..

Michepuko yenye Akili IPO na Mungu aendelee kuitunza hahahaha
Mume wangu am sure he is so happy kua na mimi. Sijitetei ila.namheshimu mume wangu kuliko unavyodhani
Sikubaliani na uzinzi tu
 
Asikusumbue huyo bint, yawezekana hata hajawahi onja ndoa sasa atakushauri nini,mimi nimeonja shubiri ya ndoa ya namna hiyo,mwanamke hataki ushauri hata kidogo,mshahara wake haujulikani unafanya nn,tujenge hataki yaani kila kitu hata kunipa haki yangu ni shida unaweza kaa 2week ndo upewe kipenyo,nikaamua kutafuta kipoozeo narudi nyumbani kimya,
Pole na kua na that kind of wife, sijisifu ila am very humble bro, namuheshimu mume wangu, mimi ni kind ya mwanmke mpk kazin walikua wakinishngaa na kuhoji hivi kwa nini hua sipiti pengine ni straight home maana ndipo furaha yangu ilipo namshukur Mungu kwa hili. Nashukuru sana.

Changamoto za ndoa nazielewa na nilishazipitia na nshukuru kwa kumtegemea mungu na kurwkebisha makosa yangu kwa kutokua matured enough nikawa ndani ya ndoa baada ya hapo shari tumezisahu, nachopata nasaidiana na mwenzangu
 
SA NANI KAKWAMBIA UMUACHE?

We naee.
Mimi tu niliyekuwa nasoma uzi wako nimeskia raha unavoelezea.
Wewe uliyekuwa kwenye hiyo relationship?

Kwanza unafkr yeye atakuacha, mwache kwanza awe awe mwaminifu kidogo.
Wewe na yeye
Hiyo ni mpk KIFO kiwatenganishe.
Most of us here have marriages out of of our marriages.
Na ndo zinadumisha ndoa.
Sasa mmoja hapo ajifanye mshika mafundisho ya padre.

Hehehhehehe
 
Married na nna watoto. Nna zaidi ya 10 yrs in marriage naelewa vzr kuhus ndoa vizuri.kabisa.
Na mwisho nimemwambia kwa kua mke wake ni mawig and kucha type amset free lkn uzinfu kwangu hapana

Ninvyema na muombee mumeo asizini
 
Kabla hajaolewa,ungekuwa umepata jibu namna ya kumtema huyo mlipua mabomu (japo inakuwaga ngumu,mimi mwenyewe nimeshindwa). Halafu ungejitwisha hako

Daah chief majibu umepata inakuaga ngumu kwwli kuwategua hawa walipuaji mabomu!
 
SA NANI KAKWAMBIA UMUACHE?

We naee.
Mimi tu niliyekuwa nasoma uzi wako nimeskia raha unavoelezea.
Wewe uliyekuwa kwenye hiyo relationship?

Kwanza unafkr yeye atakuacha, mwache kwanza awe awe mwaminifu kidogo.
Wewe na yeye
Hiyo ni mpk KIFO kiwatenganishe.
Most of us here have marriages out of of our marriages.
Na ndo zinadumisha ndoa.
Sasa mmoja hapo ajifanye mshika mafundisho ya padre.

Hehehhehehe

Sistaa sijamuacha ila nilikua na ka hofu kumuacha sitamani hata kidogo.
 
Sasa mkuu ilikuaje ukamuoa hiyo mkeo mikucha?? Hamkuwahi kua kwenye uchumba kwa muda kidogo walau mkajuana tabia zenu na vipaumbele vyenu, ikiwezekana mtemane mapema kabla ya kuingia huko kwenye ndoa.

Kwa maswahibu hayo, hapo hamna ndoa aisee au labda mkuu kipi kinakufurahisha kwa mkeo walau hata kimoja tu umpendee hicho hicho ili usimchoke namna hiyo.

Huyo mchepuko achana nae nae alinde ndoa yake, usijemletea maafa kisa umezama kwake.
 
Asikusumbue huyo bint, yawezekana hata hajawahi onja ndoa sasa atakushauri nini,mimi nimeonja shubiri ya ndoa ya namna hiyo,mwanamke hataki ushauri hata kidogo,mshahara wake haujulikani unafanya nn,tujenge hataki yaani kila kitu hata kunipa haki yangu ni shida unaweza kaa 2week ndo upewe kipenyo,nikaamua kutafuta kipoozeo narudi nyumbani kimya,
Duuuh...! Napataga faraja nikisomaga comment za namna,kumbe siko peke yangu kwenye haya mapitio ya ndoa. Halafu ukimwambia leo ndio mwisho,niliwahi kupakia mizigo yote ndani ya nyumba kwenye canter,na yeye nikamwambia twende,wanaitaga watu wote,mchungaji,wazee,majirani. Hawatakagi kuondoka
 
Sasa mkuu ilikuaje ukamuoa hiyo mkeo mikucha?? Hamkuwahi kua kwenye uchumba kwa muda kidogo walau mkajuana tabia zenu na vipaumbele vyenu, ikiwezekana mtemane mapema kabla ya kuingia huko kwenye ndoa.

Kwa maswahibu hayo, hapo hamna ndoa aisee au labda mkuu kipi kinakufurahisha kwa mkeo walau hata kimoja tu umpendee hicho hicho ili usimchoke namna hiyo.

Huyo mchepuko achana nae nae alinde ndoa yake, usijemletea maafa kisa umezama kwake.

Asante mkuu kwa ushauri huyu mke wangu aisee amekua limbukeni wa ukubwani shida ndio imeanzia hapo! Anaiga mpk basi na ukimwambia kua hayo unayoyafanya hayakupendezi kwa umri na title yako ananijibu nna kazi yangu sijaomba hela ya kujitengeneza! Sasa urembo ndio kua hvy kweli? Kwani hata kucha zake angepaka rangi zao hizo au hina na akatengeneza tu nywele vizuri bila kuweka mawigi ya marangi rangi asingeonkana mrembo?? Unamwambia anakua mmbishi km nini yaan acha tu.
 
Duuuh...! Napataga faraja nikisomaga comment za namna,kumbe siko peke yangu kwenye haya mapitio ya ndoa. Halafu ukimwambia leo ndio mwisho,niliwahi kupakia mizigo yote ndani ya nyumba kwenye canter,na yeye nikamwambia twende,wanaitaga watu wote,mchungaji,wazee,majirani. Hawatakagi kuondoka

Wanatufanyaga km maboya hawa viumbe haki ya nani tunatupiwaga lawama lakini hawajui tu shida tunazopotia ustaarabu unatuponza sana.
 
Asante mkuu kwa ushauri huyu mke wangu aisee amekua limbukeni wa ukubwani shida ndio imeanzia hapo! Anaiga mpk basi na ukimwambia kua hayo unayoyafanya hayakupendezi kwa umri na title yako ananijibu nna kazi yangu sijaomba hela ya kujitengeneza! Sasa urembo ndio kua hvy kweli? Kwani hata kucha zake angepaka rangi zao hizo au hina na akatengeneza tu nywele vizuri bila kuweka mawigi ya marangi rangi asingeonkana mrembo?? Unamwambia anakua mmbishi km nini yaan acha tu.
Daah pole sana mkuu, huwa ni shida sana mtu akikubadilikia ndani ya ndoa, hapo ni mpaka apate funzo la kidunia akili imkae sawa. Kuna muda huo upole wako ni sababu ya yeye kuyafanya hayo.
 
Daah pole sana mkuu, huwa ni shida sana mtu akikubadilikia ndani ya ndoa, hapo ni mpaka apate funzo la kidunia akili imkae sawa. Kuna muda huo upole wako ni sababu ya yeye kuyafanya hayo.

Uko sahihi kabisa huu upole naona unakua ni ujinga sasa.
 
Pole na kua na that kind of wife, sijisifu ila am very humble bro, namuheshimu mume wangu, mimi ni kind ya mwanmke mpk kazin walikua wakinishngaa na kuhoji hivi kwa nini hua sipiti pengine ni straight home maana ndipo furaha yangu ilipo namshukur Mungu kwa hili. Nashukuru sana. Changamoto za ndoa nazielewa na nilishazipitia na nshukuru kwa kumtegemea mungu na kurwkebisha makosa yangu kwa kutokua matured enough nikawa ndani ya ndoa baada ya hapo shari tumezisahu, nachopata nasaidiana na mwenzangu
Kama ww uko hivyo fine,ila kuna wanawake unaishi nae tu lakini akili yako haipo kutokana na matendo yao mabaya,yaani unajuta mpaka unatamani ujinyonge,halafu ndo wa kwanza kukimbilia ustawi wa jamii kushtaki,
 
Back
Top Bottom