Msaada: Upungufu wa nguvu za kiume umepelekea nikose hamu ye tendo la ndoa

Sikia ndugu yangu Hakuna tatizo la Nguvu za kiume tatizo lako umesha ji setia hvo kwenye akili yako na ndo kinachokutesa kwanza anza kukataa hiyo hali kuwa sina nguvu za kiume alafu uone utashanga tuu unakua sawa .. hakuna atakayekuambia hili
 
Yapo magonjwa, lakini mara nyingi tatizo na ufumbuzi ni wewe mwenyewe. Kabla ya ahadi uwe na usawaziko wa akili. Usiende na kichwa kimejaa mawazo zaidi ya ahadi na demu wako. Mawazo ya pesa madeni, stress za kukosa kazi nk nk zitakutoa kwenye reli. Tumia vyakula vinavyo ongeza hamu ya tendo eg karanga, ndizi na kahawa, tangawizi na mihogo.
 
Sikia ndugu yangu Hakuna tatizo la Nguvu za kiume tatizo lako umesha ji setia hvo kwenye akili yako na ndo kinachokutesa kwanza anza kukataa hiyo hali kuwa sina nguvu za kiume alafu uone utashanga tuu unakua sawa .. hakuna atakayekuambia hili
Usiseme hivyo mkuu, omba Mungu yasikukute. Mtambo kuamka sio lazima iwe willing yako katika mazingira ya lazima.
 
Sawa, Asante mkuu
 
Baada ya Ushukuru Pesa zako zitaokolewa then wewe unaona as a Problem.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…