Msaada: Upungufu wa nguvu za kiume umepelekea nikose hamu ye tendo la ndoa

Pole chief! Hebu jaribu kufanya mambo haya
1. Dhibit swala la kula epuka ugari mweupe kabisa, ngano nyeupe yaan chapati, maandalizi, mikate, tambi, Wali mweupe, chips weka pemben kwa muda kwanza, mbadala wake Anza penda michemsho zaidi jitahid kutokutumia mafuta, sukari, chumvi. Tumia nyama michemsho Sanaa unapokula supu ya nyama hakikisha unakula na mayai 3 ya kienyeji kwa siku, Samaki, dagaa, mboga za majani yenye mchanganyiko wa bamia, hoho, karot chemsha usiweke mafuta. Ktk ratiba yako ya ulaji jitahid upate mlo mmoja ulio kamilika safiii kabisaaaa na maji mengi.
2. Tengeneza juice zifuatazo iwe ni tamaduni yako kwakufululiza
Maziwa mtindi /frshi tende, ndizi,asali karanga mbichi saga piga asubuh /jion.
Saga pia tangawizi, limao, swaumu,maji, pilipili Manga, karot na asali chuja piga asubuhi /jion.
Nyingine tumia bamia, katakata bamia vipande harafu weka kwenye jagi Tia maji mengi kulingana na wingi wa bamia uwe unakunywa asubuh kabla ya chochote Glas moja, jion muda wa kulala piga glasi moja na kijiko cha asali mbichi.
Tumia chai yenye mchanganyiko huu
Mdarasini wa india
Unga wa mlonge
Tangawizi
Iriki
Limao
Pilipili manga
Kisha Tia asali mbichi tumia kama burudani yako.
3. Jitahid Sana mazoez yafuatayo
Hakikisha unatembea mwendo wa haraka haraka kwa hatua ndefu ukiwa umenyooka hata km 2. NA mwendo wa taratibu km 2. Kisha muda wa kupumzika chuchumaa dk 10 simama fanya hivyo kila mara.
Jitahid push up kidogo
Lalia mgongo mikono weka kiunoni nyanyua miguu dk 10 shush, nyanyua tena! Fanya hayo mambo kama ndio maisha yako kwa mwez mzima Bila kugusa mwanamke utakuja kuleta mrejesho
 



​
 
Ubarikiwe sana mkuu, ibarikiwe JF kwa kuwa watu wenye kujali kama wewe. Naomba nikuahidi kwamba nitafanya haya uniyonishauri. Asante
 
Jaribu kutumia hizi dawa za asili. Jaribu ashua zile za asili
 
Leo ndio nimejua threads zipo nyingi sana za topic hii

Wangeweka kama kipengele vhaafya kwa wanawake na wanaume.. Watu she nyuzi zao na wengine wazi some kiurahisi
Ni kweli kabisa, kuna
  1. Tanzia
  2. Hili la afya ya huo mtaa
  3. Matangazo ya biashara
 
Lakini pia nenda hospitali nyingine. Kama tatizo la testosterone kuwa chini ni la kijenetikia unatakiwa kutumia hizo dawa la ku boost homoni maisha yako yote, sio jambo la 'kunywa dawa na kupona'.
Hivii hii ndo huwa wanapewa wale wenye hormonal imbalance? Au inakuaje?
 
Pole Sana ngosha Ng'wichane.Wewe siyo Kwamba huwezi kupona bali kinachokusumbua hata dozi huwa humalizi na hofu kubwa ya kupoteza gharama. Jitahidi kuzingatia na kukamilisha dozi vinginevyo utaendelea kufuga matatizo ambayo yanaweza kutibika.Tatizo la miaka mitano na zaidi haliwezi kutibiwa kwa wiki moja.
 
Hapana mkuu, nilikuwa vizuri tu Tena vizuri sana
Mkuu kama unavaa chupi/boxers nje ya cotton hili tatizo lazima mtu litampata. Kama vyakula unavyokula nje ya vyakula vya asili hili tatizo kila mtu atakuwa nalo.

Chakufanya:- Vaa chupi za 100% cotton tu.
1). Kula vyakula vya asili vyenye afya.
2). Endelea kula Matunda.
3). Kunywa juisi ya limao kila asubuhi pia kula chembe za kitunguu saumu viwili kutwa mara tatu.
4). Mazoezi muhimu tenga saa limoja la mazoezi kimbia/ruka kamba na push up.
5). Achana na bia vyakula vya sukari pamoja na ngono zembe punguza stress.
Majibu utayaona kuanzia miezi 3 au 6 mpaka mwaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…