Msaada wa AirBags wakati wa Ajali

Inategemea na impact. Ila ukifunga mkanda uko salama zaidi kuliko wa mbele. Tatizo watu wakikaa nyuma hawafungi mikanda.
 
Mimi ni moja wa watu waliookoka kwenye ajali kwa Msaada wa airbag....
 
Sasa mtu una akili timamu unanunua gari la 4.5m halafu unataka ikigongana upone? Yaani zipo gari hapa bongo ikigongana na POPO au KUNGURU jike mwenye upwiru anaetafuta dume nakuhakikishia kupona kwako labda ajali itokee karibu na geti la Mloganzila.
Hahahahhaa
 
sema huna uzoefu lakini usibeze hii kitu
 
Zinasaidia na zimeokoa watu wengi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…