Msaada wa AirBags wakati wa Ajali

Msaada wa AirBags wakati wa Ajali

Nataka kuuliza , je siti ya nyuma au katikati kwenye gari kama v8 inaweza kuwa safe seat wakati wa crash kama head to head colition? Nimewaza labda yule ras wa kilimanjaro alepata ajali na suka wake angekaa siti ya nyuma pale labda chance of survival ingekuwepo.
Inategemea na impact. Ila ukifunga mkanda uko salama zaidi kuliko wa mbele. Tatizo watu wakikaa nyuma hawafungi mikanda.
 
Wakuu, naomba kuuliza ni lini hapa Tanzania mmeshuhudia Ajali ya gari either ya kugongana uso kwa uso or Gari kugonga sehemu kama Mti au daraja na Dereva na abiria wakaokolewa na hizi Airbags kwenye magari yetu?

Binafsi naona hizi Airbags hazina msaada wowote kwa magari yetu haya Second hand maana nimeshuhudia ajali nyingi za Mgongano zimeua watu mara nyingi bila hata kuonekana kama kuna Airbags zilifunguka.

RRONDO
Mimi ni moja wa watu waliookoka kwenye ajali kwa Msaada wa airbag....
 
Sasa mtu una akili timamu unanunua gari la 4.5m halafu unataka ikigongana upone? Yaani zipo gari hapa bongo ikigongana na POPO au KUNGURU jike mwenye upwiru anaetafuta dume nakuhakikishia kupona kwako labda ajali itokee karibu na geti la Mloganzila.
Hahahahhaa
 
Wakuu, naomba kuuliza ni lini hapa Tanzania mmeshuhudia Ajali ya gari either ya kugongana uso kwa uso or Gari kugonga sehemu kama Mti au daraja na Dereva na abiria wakaokolewa na hizi Airbags kwenye magari yetu?

Binafsi naona hizi Airbags hazina msaada wowote kwa magari yetu haya Second hand maana nimeshuhudia ajali nyingi za Mgongano zimeua watu mara nyingi bila hata kuonekana kama kuna Airbags zilifunguka.

RRONDO
sema huna uzoefu lakini usibeze hii kitu
 
Back
Top Bottom