kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
Mpokee akifika ndiyo umkanye asirudie tenaHAMNA kazingua SANA. JUZI tumeongea HAJASEMA. ALAF Leo NAAMBIWA na watu WA PEMBENI, ALAF BADAE NAYE NDO anasema kweli HUO ni utu.msimamo UKO palepale simpokei
Kwishaaaa
HAMNA SINA MANA HIYO mkuu. ni MTU TU ana amua kukuvuruga. NATAKIWA niandae bajeti ya chakula nihairishe ratiba kadhaa SA MTU ana kushtukiza mkuu kweli NDO maisha hayo na juzi TU tumezungumza hajasema kama waja😂😂😂😂hili nalo la kuomba ushauri jamani dah! Haya tumeshajua mmezaliwa mapacha
aseme watu wapo humu wamsaidie hifadhiKama unasusa we susaa, shemeji zako watampokea.
Unataka doto amsimulie magoli ya usiku kulwanipe namba zake mkuu.nipate shemeji pacha
Mi pia! 😂😭Haha jina Hilo sio geni masikioni kwangu
Mimi ningezaliwa na pacha wangu wa kike tungeoana bila kusikiliza jamii inasemaje
Kweli hapo kwishaaaHII mara ya pili mara ya kwanza Dodoma kafanya hivo TENA nika mkanya. Karudia tena
Kwishaaa
🤣🤣 hapa ume defenceHii tabia wanayo wanadoa na wale wenye mapenzi yao
Nimekabia juu sio😄🤣🤣 hapa ume defence