Hiyo kauli ya kusema wanaume hamna tabia ya kuplay victims ni wazi unataka tujadili mawazo yako binafsi na siyo uhalisia, hivi ni lini mtaacha kukwepa uhalisia uliopo kwenye jamii kwa kujifanya kama vile wanaume ni innocent ila wanawake tu ndio wakosaji siku zote, hatuko hapa kujadili mawazo yako binafsi sisi tunashuhudia wanaume wengi wanaoplay victims ili waonekane innocent lakini nao huwa wanajitetea kwa kauli kama hizi.. anyway nimekuuliza kama anajua hao watoto siyo wake kwa sababu anahisi mkewe hakuwa muaminifu kama mnavyosema kwanini sasa kawachukua!!